Home Tags Eric Omondi

Tag: Eric Omondi

Eric Omondi akamatwa akiongoza maandamano nje ya bunge

0
Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano ya kundi kwa jina "Mama Mboga Revolution" nje ya majengo ya bunge, alasiri ya leo. Omondi ambaye alikuwa amevaa...

Mchekeshaji Eric Omondi atangaza kukamilika kwa mradi wa daraja Kisii

0
Eric Omondi ambaye wengi wanamfahamu kama mchekeshaji ametangaza kukamilika kwa mradi wa daraja ambalo alilipa jina la "Kemunto". Jina hilo ni la mtoto mdogo ambaye...

Jaguar akashifu wasanii wanaogeuka omba omba

0
Mwanamuziki na mwanasiasa Charles Njagua maarufu kama Jaguar amekashifu tabia ya wasanii kugeuka kuwa omba omba baada ya kufuja pesa wanazopata kutokana na kazi...

Mwana Mtule aondoka hospitalini

0
Msanii Peter Wangudi maarufu kama Mwana Mtule hatimaye ameondoka kwenye hospitali ya kitaifa ya Kenyatta. Haya yanajiri yapata mwezi mmoja tangu aliporuhusiwa kuondoka na madaktari...

Eric Omondi amhamisha na kumfungulia biashara Victor Juma

0
Mchekeshaji Eric Omondi amemhamisha jamaa kwa jina Victor Omondi na familia yake kutoka mtaa wa Mathare na kumfungulia biashara ya kuuza viatu na nguo....

Bahati alalamikia utawala wa wanamuziki wa Tanzania nchini Kenya

0
Mwanamuziki Kelvin Kioko maarufu kama Bahati analalamika kufuatia kupendeka kwa muziki wa wanamuziki wa nchi jirani Tanzania nchini Kenya. Kupitia akaunti yake ya Instagram, msanii...

Omondi kunadi viatu vyake kumfadhili Simple Boy

0
Mchekeshaji Eric Omondi anapanga kuandaa mnada leo Jumatatu Juni 3, 2023 kuuza viatu vyake ili kufadhili mwanamuziki Stevo Simple Boy ambaye ametumbukia kwenye lindi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS