Home Tags EPRA

Tag: EPRA

Afueni kwa Wakenya baada ya bei ya mafuta kupunguzwa

0
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini, EPRA imetangaza kupunguzwa kwa bei ya mafuta katika kipindi cha mwezi moja ujao kinachoanzia Juni 15-Julai,...

EPRA yazindua kampeni ya ‘Tusonge na EVs’

0
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati nchini, EPRA imezindua kampeni ya ‘Tusonge na EVs’ inayolenga kuhamasisha umma kuhusu uhamaji wa umeme nchini na vilevile kukuza matumizi...

EPRA yatangaza bei zilizopunguzwa za mafuta

0
Mamlaka ya kawi nchini EPRA imetangaza bei mpya za mafuta zilizopunguzwa na ambazo zitatumika kati ya Mei 15 na Juni 14 mwaka 2024. Bei ya...

EPRA yaagiza kufungwa kwa vituo vya kuuza mafuta vilivyofurika

0
Mamlaka ya kawi nchini EPRA imeagiza kufungwa kwa vituo vyote vya kuuza mafuta vilivyofurika ili kutoa fursa ya kutathminiwa kwa ubora wa mafuta ambayo...

EPRA yapunguza bei ya mafuta kwa hadi shilingi 18

0
Mamlaka inayothibiti bidhaa za mafuta nchini EPRA imepunguza bei ya mafuta kwa hadi shilingi 18 . Kulingana na bei mpya zilizotangazwa Jumapili na EPRA,petroli imepunguzwa...

Maafisa wa DCI wanasa washukiwa 41 wa biashara haramu Nairobi

0
Maafisa wa ujasusi wa DCI wamenawasa washukiwa 41 walipatikana wakiendesha biashara haramu katika jengo moja ambalo halijakamilika katika barabara ya Lunga kaunti ya Nairobi. Haya...

Serikali yapunguza bei ya mafuta

0
Serikali imetangaza bei mpya za mafuta zilizopunguzwa ambazo zitatumika kwa muda wa mwezi mmoja ujao. Lita moja ya petroli imepunguzwa kwa shilingi 7 na senti...

Bei ya mafuta taa, petroli na dizeli yapungua kwa shilingi moja...

0
Ni afueni kwa Wakenya japo kiduchu baada ya bei za mafuta taa, petroli na dizeli kupungua kwa shilingi moja kwa lita.  Bei mpya zilizotangazwa leo...

Wanaoendesha biashara ya gesi bila leseni mashakani

0
Serikali imetoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanoendesha biashara ya gesi bila leseni, huku wakitakiwa kuhakikisha wanazigatia sheria zilizopo. Akizungumza katika kaunti ya Nyeri siku ya...

EPRA: Kampuni ya gesi ya Embakasi ilihudumu bila leseni

Mamlaka ya kudhibiti Kawi nchini (EPRA),  imefichua kuwa kampuni iliyohusika katika mlipuko wa gesi eneo la Embakasi Alhamisi usiku, iliendesha shughuli zake bila leseni. Kwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS