Tag: EPL
Ligi Kuu Uingereza kuingia raundi ya 9 Arsenal wakiwaandaa Liverpool
Kipute cha Ligi Kuu Uingereza kitaingia mechi za raundi ya 9 mwishoni mwa juma hili baina ya Ijumaa na Jumapili, huku kilele ikiwa mchuano...
Mancity watwaa ubingwa wa EPL mara nne kwa mpigo
Timu ya Manchester City imehifadhi ligi kuu nchini Uingereza kwa mara ya nne mtawalia, baada ya Kuizaba West Ham mabao matatu Kwa moja kwenye...
Bundesliga na Serie A kupata nafasi tano za ligi ya Mabingwa...
Ligi Kuu Uingereza imepoteza nafasi moja ya kushiriki Ligi ya Mabingwa barani Ulaya msimu ujao kwa ligi za Ujerumani,Bundesliga na ile ya talia Serie...
Everton kujinusuru dhidi ya Crystal Palace?
Everton inapania kuandikisha ushindi ili kujiondoa katika eneo hatari ya kushushwa daraja itakapowaalika Crystal Palace uwanjani Goodison Park Jumatatu usiku.
Kikosi cha kocha Sean...
Liverpool yainyuka Newcastle na kupanua uongozi wa EPL
Timu ya Liverpool ilipanua uongozi wa ligi kuu ya Uingereza, EPL kwa alama tatu baada ya kuishinda Newcaste United magoli 4-2 katika mechi ya...
Matukio manne yaliozua vilio na mijadala mikali ligi ya EPL 2023
Mchezo wa kandanda au Soka unahenziwa sana duniani na ndio pekee ulio na mashabiki wengi kote ulimwenguni.
Japo ligi ya Ujerumani na Uhispania; Bundesliga na...
Arsenal wapigwa kumbo nyumbani na West Ham
Majuma kadhaa baada ya kuibandua Arsenal katika kombe la Carabao, West Ham United ilidhihirisha ubabe wake ilipokosa adabu na kuititiga The Gunners mabao 2...
Timu za EPL kuwakosa wachezaji watakaoshiriki AFCON
Makala ya 34 ya fainali za kuwania kombe la mataifa ya Afrika AFCON yataandaliwa nchini Ivory Coast kati ya Januari 13 na Februari 11...
Man U wapigwa kitutu nyumbani na Bournemouth
Masaibu ya klabu ya Manchester United yaliongezeka Jumamosi jioni baada ya kucharazwa mabao matatu kwa bila nyumbani na Bournemouth.
Mabao ya wageni yalipachikwa...
Mancity watafunwa na mbweha huku Man U wakiduwazwa
Rekodi ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Uingereza Manchester City,kutopoteza msimu huu ilivunjwa baada ya kuambulia kichapo cha magoli mawili kwa moja ugenini mikono...