Home Tags ENGLAND

Tag: ENGLAND

Uingereza na Uholanzi watamba

0
Timu ya Uingereza na Uholanzi walianza vyema kampeni ya kusaka taji la Uropa katika kinyanganyiro kinachoendelea nchini Ujerumani kwa kulaza Serbia na Poland mtawalia. Kwenye...

Uhispania ndio malkia wa dunia katika soka

0
Uhispania wamenyakua kombe la dunia kwa wanawake kwa mara  ya kwanza baada ya kuwashinda Uingereza bao moja kwa bila kwenye fainali ya kusisimua iliyosakatwa...

Uhispania kumenyana na Uingereza fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake

0
Uingereza itapambana dhidi ya Uhispania kwenye fainali ya makala ya 9 ya fainali za kombe la dunia kwa wanawake. Uingereza imefuzu kwa fainali Jumatano baada...

Uingereza wahemeshwa na Nigeria kabla ya kutinga robo fainali ya Kombe...

0
Uingereza almaarufu Three Lionesses wamekabiliwa na wakati mgumu dhidi ya Nigeri Superr Falcons kabla ya kuwashinda kupitia matuta ya penalti na kujikatia tiketi kwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS