Home Tags Embu

Tag: Embu

Serikali kuwatenga fedha wakulima wa miraa na muguka asema Ruto

0
Serikali itatenga shilingi milioni 500 kwa wakulima wa Miraa na Mugukaa katika mwaka wa kifedha 2024/2025, kwa ajili ya kuongeza thamani. Akizungumza katika ikulu baada...

Marufuku ya Muguka Mombasa na Kilifi yabatilishwa na Ruto

0
Rais William Ruto amebatlisha marufuku ya kaunti za Mombasa na Kilifi, dhidi uuzaji na matumizi ya Muguka akisema kuwa kinyume cha katiba kwa hatua...

Kenya yajiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani

0
Kenya leo Ijumaa inajiunga na ulimwengu kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani.  Sherehe za kitaifa kuadhimisha siku hiyo zinafanyika katika kaunti ya Embu na zinaongozwa na...

Njama ya kuuza nyama ya punda? Watu 3 wakamatwa Embu

0
Maafisa wa Huduma ya Taifa ya Polisi, NPS kutoka kituo cha polisi cha KPS Runyenjes na DCI Embu Mashariki walivamia makazi yaliyopo katika kijiji...

Watu wawili wafariki katika ajali ya barabarani Embu

0
Watu wawili walifariki Jumamosi mchana baada ya matatu kupoteza mwelekeo na kuwagonga waliokuwa wakitembea kwa migu nje ya hospitali ya Embu level Five. Aliyeshuhudia kisa...

Kindiki: Maelfu ya pasipoti hazijachukuliwa katika afisi za uhamiaji

0
Waziri wa usalama wa kitaifa Prof. Kithure Kindiki, amesema serikali itazindua mchakato wa kitaifa Jumatano wiki ijayo, kuhakikisha Pasipoti zilizoko katika afisi za uhamiaji...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS