Home Tags Embakasi

Tag: Embakasi

Washukiwa wa mlipuko wa gesi Embakasi kuzuiliwa kwa siku 21

0
Washukiwa wanne wanaohusishwa na mlipuko wa gesi eneo la Embakasi uliotokea juma lililopita ambapo hadi kufikia sasa watu saba wamefariki, watazuiliwa kwa muda wa...

Vituo vya kujaza gesi vilivyo ndani ya mita 200 kutoka eneo...

0
Vituo vyote vya kujaza gesi vilivyo ndani ya mita 200 kutoka eneo la makazi kuanzia sasa vitafungwa.  Hayo yamesemwa na Gavana wa kaunti ya Nairobi...

Raila: Kila familia iliyoathiriwa na mkasa wa Embakasi ilipwe nusu milioni

0
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga sasa anataka kila familia iliyoathiriwa na mlipuko wa gesi uliotokea katika eneo la Embakasi, kaunti ya Nairobi ilipwe fidia...

Watu wawili wafariki kutokana na mlipuko wa gesi Embakasi

0
Watu wawili wameripotiwa kuaga dunia kufuatia mlipuko wa gesi ya kupikia uliotokea mtaani Embakasi kaunti ya Nairobi usiku wa manane Ijumaa. Msimamizi wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS