Home Tags Eliud Owalo

Tag: Eliud Owalo

Kenya yalenga masoko 13 mapya ya Majani chai ughaibuni

0
Serikali inalenga kuzalisha majani chai yaliyoongezwa thamani, huku ikiweka mkakati wa miaka mitano wa kupanua masoko, ikilenga masoko 13 mapya ughaibuni. Waziri wa kilimo na...

Kenya na UAE zashirikiana katika uwekezaji wa kidijitali

0
Kenya na Umoja wa Milki za Kiarabu (UAE), zimetia saini mkataba wa maelewano kuhusu uwekezaji katika masuala ya kidijitali na teknolojia. Waziri wa Habari,...

Serikali kufungua maabara za kidijitali kote nchini

0
Waziri wa habari, mawasiliano na uchumi dijitali Eliud Owalo, amesema serikali itafungua maabara ya digitali kwenye wadi zote na masoko nchini, kwa lengo la...

Owalo: Serikali itatumia teknolojia kufanikisha uchumi wa saa 24

0
Serikali itatumia teknolojia kufanikisha uchumi wa saa 24 hapa nchini, amesema Waziri wa habari, mawasiliani na uchumi wa dijitali Eliud Owalo. Waziri Owalo alisema taifa...

Kenya kuandaa kongamano la Transform Africa

Kenya imeshinda ombi la kuwa mwandalizi wa kongamano maalum la Transform Afrika mwaka 2024. Tangazo hilo lilifanywa wakati wa mkutano wa kila mwaka wa...

Waziri Owalo ateuliwa kwa bodi ya ITU

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo ameteuliwa kuwa mwanachama wa Bodi ya Uvumbuzi wa Dijitali Duniani ya Umoja wa Mawasiliano...

Migori na Siaya kuwania nafasi ya tatu Owalo Super Cup Alhamisi

0
Migori Combined na Siaya Combined zitashuka uwanjani siku ya Alhamisi kuwania nafasi ya tatu na nne katika makala ya kwanza ya michuano...

David Mugonyi ateuliwa Mkurugenzi Mkuu wa Halmashauri ya Mawasiliano

0
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ya rais, David Mugonyi ameteuliwa kuwa mkurugenzi mkuu mpya wa halmashauri ya mawasiliano humu nchini, CA. Uteuzi wa Mugonyi...

Koskei: Mabadiliko ya kidijitali yataepusha kupotea kwa mapato

0
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei, ametoa changamoto kwa wadau katika sekta ya habari, mawasiliano na uchumi dijitali kuharakisha mabadiliko ya kidijitali. Kulingana na...

Waziri Owalo kuikabidhi Gor Mahia basi la shilingi milioni 20 Jumamosi

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali Eliud Owalo  anatarajiwa kuikabidhi klabu ya Gor Mahia basi jipya la shilingi milioni 20 kesho Jumamosi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS