Home Tags Eliud Kipchoge

Tag: Eliud Kipchoge

Kipchoge na Jepchirchir kuongoza Kenya kutetea mataji ya Olimpiki

0
Mabingwa watetezi Eliud Kipchoge na Peres Jepchirchir, wataongoza Wakenya kutetea mataji ya mbio za marathon katika michezo ya Olimpiki, iliyoratibiwa kuandaliwa jijini Paris Ufaransa...

Kipchoge kuongoza timu ya Kenya ya Marathon ya Olimpiki

0
Bingwa mtetezi  Eliud Kipchoge ataongoza kikosi cha wanaume watakaoshiriki marathon ya Olimpiki mwaka huu jijini Paris Ufaransa kati Julai na Agosti mwaka huu. Kipchoge atalenga...

Kipchoge, Kiptum na Jepchirchir ndani ya timu ya Olimpiki ya Marathon

0
Mabingwa watetezi Eliud  Kipchoge na Peres Jepchirchir ni miongoni mwa wanariadha 20 waliojumuishwa  katika kikosi cha awali cha marathon kwa mashindano ya Olimpiki  mwaka...

Kipchoge ashinda Berlin Marathon kwa mara ya tano

0
Bingwa mara mbili wa Olimpiki Eliud Kipchoge, ameshinda taji ya tano ya mbio za Berlin Marathon nchini Ujerumani akihifadhi ubingwa wa mwaka jana kwa...

Kipchoge na Kipruto kuzua mhemuko Berlin Marathon

0
Bingwa mtetezi wa mbio za Berlin Marathon Eliud Kipchoge na bingwa wa London marathon mwaka 2022 Amos Kipruto watapambana katika makala ya 49...

Kipchoge awinda taji ya tano ya Berlin Marathon Jumapili

0
Makala ya 49 ya mbio za Berlin yataandaliwa Jumapili hii Septemba 24 nchini Ujerumani huku bingwa mtetezi na mshikilizi wa rekodi ya dunia Eliud...

Eliud Kipchoge kushiriki mbio za Marathoni za Berlin mwezi Septemba

0
Mwanariadha anayeshikilia rekodi ya dunia ya mbio za marathoni Eliud Kipchoge atashiriki mbio za mwaka huu za marathoni za Berlin Septemba 24, akiwania ushindi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS