Home Tags Eldoret

Tag: Eldoret

Washukiwa wanne mahakamani kwa kughushi vyeti vya masomo

Washukiwa wanne wamefikishwa mahakamani mjini Eldoret kwa tuhuma za kughushi vyeti vya masomo katika harakati za kusaka ajira. Bethwel Kipkoech, Celestine Cherop Chepsoi, Eddah Cheptanui...

Ruto: Ujenzi wa nyumba za gharama nafuu hautasitishwa

0
Rais William Ruto ameelezea kujitolea kwake kufanikisha mpango wa serikali wa ujenzi wa nyumba za gharama nafuu nchini, akisema kwamba hauwezi kusitishwa. Rais alikariri...

Miili minne yapatikana shambani Eldoret

0
Miili minne imepatikana imetuowa kwenye shamba moja la mahindi mapema Jumapili karibu na kambi ya jeshi ya Moi mjini Eldoret. Walioshuhudia kisa hicho walisema...

Watu sita wafariki kwenye ajali barabarani Nakuru

0
Watu sita wamefariki kwenye ajali barabarani  leo Jumatatu alfajiri  katika eneo la Ngata, kaunti ya Nakuru baada ya lori na matatu  kugongana uso kwa...

Wafanyakazi walioachishwa kazi waandamana Eldoret

Wafanyakazi zaidi ya 100 wa kampuni ya Steel Mill mjini Eldoret ambao waliachishwa kazi ghafla wameandamana kulalamikia kile wanachokitaja kuwa kucheleweshwa kwa malipo yao...

Uasin Gishu ina uwezo kuandaa mechi za AFCON 2027, asema Bii

0
Gavana wa kaunti ya Uasin Gishu Jonathan Bii amejitokeza kimasomaso kutetea uwezo wa kaunti yake kuandaa mechi za kombe la mataifa ya Afrika, AFCON...

Kituo cha utafiti wa sayansi ya michezo chazinduliwa

0
Serikali imezindua kituo cha utafiti wa sayansi ya michezo cha Shirika la Utafiti wa Kimatibabu Nchini, KEMRI mjini Eldoret katika juhudi za kukabiliana na...

Seneta Mandago na wenzake wawili kufikishwa mahakamani Alhamisi

0
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago anatarajiwa kufikishwa mahakamani Nakuru leo Alhamisi, Agosti 17, kujibu mashtaka kadhaa ya ufisadi. Mandago na wenzake wawili...

Seneta Mandago akamatwa na polisi

0
Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago, amekamatwa na maafisa wa polisi saa chache baada ya mahakama kutoa kibali cha kukamatwa kwake, kuhusiana na sakata...

Familia yaomboleza Eldoret baada ya mwanao kufariki Canada

0
Familia moja mjini Eldoret inaomboleza kifo cha mwanao Brian Kiprop aliyekuwa akisomea shahada ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia katika Chuo Kikuu cha Winnipeg, Manitoba...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS