Home Tags El Nino

Tag: El Nino

Watu 179 wamefariki kufikia sasa kwa mafuriko

0
Idadi ya waliofariki nchini kutokana na mvua ya masika  inayoendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali imefikia 179. Msemaji wa serikali Isaac Mwaura alisema kuwa miili kumi...

Watu 174 walifariki kutokana na mvua za El Nino

0
Jumla ya watu 174 walifariki kutokana na mvua za El Nino zilizoshuhudiwa katika maeneo mbalimbali nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.  Kati ya waliofariki,...

Waathiriwa wa El Nino kuendelea kupokea misaada

0
Kituo cha kitaifa cha kushughulikia athari za mvua ya El Nino kimetangaza kwamba misaada itaendelea kutolewa kwa waathiriwa wa mvua hiyo, kikisema kufikia sasa...

Mwaura: Kiwango cha mvua hapa nchini kuongezeka

Serikali imesema mvua zaidi itanyesha katika maeneo kadhaa hapa nchini hadi tarehe 23 mwezi huu. Vile vile serikali imewahimiza Wakenya, hasa walio katika sehemu za...

Mafuriko yasababisha madhara makubwa Hanang, Tanzania

0
Watu wapatao 20 wameaga dunia, wengine wamejeruhiwa na wengine hawajulikani waliko kufuatia mafuriko ambayo yamekumba wilaya ya Hanang katika mkoa wa Manyara nchini Tanzania. Mafuriko...

Kenya kuendelea kushuhudia mvua kubwa

0
Sehemu nyingi za taifa hili zitaendelea kushuhudia mvua kubwa, kulingana na idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini. Utabiri uliotolewa siku ya Ijumaa na...

Fedha za El Nino? Sahau, Gachagua awaambia Magavana

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali madai ya Magavana kuwa serikali kuu haijawapatia fedha za kukabiliana na athari za mvua za El Nino zinazoendelea...

Gavana Nassir: Kaunti hazijapokea fedha za kukabiliana na athari za El...

0
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Sheriff Nassir amekanusha madai kuwa kaunti zimepokea fedha za kukabiliana na athari za mvua ya El Nino inayoshuhudiwa...

Viongozi Wajir wataka usaidizi wa serikali kuu kukabiliana na athari za...

0
Viongozi wa kaunti ya Wajir wanaomba usaidizi wa serikali kuu katika kukabiliana na athari za mvua ya El Nino inayoendelea kushuhudiwa nchini. Wakiongozwa na Gavana...

Matukio ya Taifa: Serikali imejipanga kukabili athari za mafuriko, asema Gachagua

0
Serikali kuu imeanza zoezi la kukusanya data kuhusu athari za mvua kubwa inayoendelea kuathiri maeneo mengi nchini. Naibu rais Rigathi Gachagua amesema ripoti hiyo itawekwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS