Home Tags ECOWAS

Tag: ECOWAS

ECOWAS yasimamisha uanachama wa Niger

0
Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (Ecowas), imesimamisha uanachama wa Niger baada ya serikali kuu ya kijeshi kukataa kumrejesha madarakani Rais aliyeondolewa...

Ufaransa yaondoa majeshi yake Niger

0
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi yake itaondoa majeshi na balozi wake kutoka nchini Niger kufuatia mapinduzi ya Rais Mohamed Bazoum mwezi...

Kiongozi wa jeshi nchini Gabon apinga uwezekano wa kuandaa uchaguzi...

0
Kiongozi wa jeshi nchini Gabon amesema hana haraka ya kuitisha uchaguzi mpya kufuatia kung√°tuliwa mamlakani kwa Rais Ali Bongo. Bongo amewekwa kwenye kifungo cha nyumbani...

Viongozi wa mapinduzi Niger wapendekeza serikali ya mpito

0
Wanajeshi walioongoza mapinduzi ya serikali nchini Niger sasa wanapendekeza serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kurejelea...

Mataifa ya Afrika ya kati yaunga mkono ECOWAS

0
Jumuiya ya kanda ya Afrika ya Kati ECCAS, imeunga mkono juhudi za wenzao wa Afrika Magharibi, ECOWAS katika kurejesha utaratibu wa kikatiba nchini Niger. Hayo...

Urusi yaonya ECOWAS dhidi ya kutuma wanajeshi Niger

0
Urusi imeionya Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi Ecowas, kuhusu kuchukua hatua za kijeshi ambazo inasema itachukua dhidi ya wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Niger. Inasema...

Wanadiplomasia wa kimataifa wazuiwa kuingia Niger

0
Viongozi wa utawala wa kijeshi wa Niger wamesema hawawezi kukubali ziara ya ngazi ya juu ya kidiplomasia kwa sababu kutakuwa na hatari za kusalama...

Niger: Viongozi wa mapinduzi wafunga anga

0
Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wamefunga anga ya nchi hiyo kwa muda usiojulikana baada ya kukataa kutii makataa ya nchi za Afrika...

ECOWAS yaiwekea Niger vikwazo

0
Umoja wa Mataifa ya Afrika Magharibi, ECOWAS imeiwekea vikwazo Niger kufuatia jaribio la mapinduzi ya serikali. Kulingana na taarifa ya pamoja ya ECOWAS kufuatia kikao...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS