Home Tags ECDE

Tag: ECDE

Shule za chekechea: Kaunti ya Nairobi kujenga madarasa mapya 114

0
Serikali ya kaunti ya Nairobi , imetangaza mipango ya kujenga madarasa 114 mapya, kwenye taasisi za Chekechea (ECDE), katika wadi zote 85, ili kupunguza...

Walimu wa chekechea Machakos wataka mpango wa huduma utekelezwe

Walimu wa chekechea katika kaunti ya Machakos wanaitaka serikali ya kaunti hiyo itekeleze mpango wa huduma wakisema masharti ya sasa ya kikazi ni ya...

Vituo vya ECDE Turkana vyapokea unga wa uji uliorutubishwa

0
Vituo zaidi ya 1,000 vya chekechea, ECDE katika kaunti ya Turkana vinatazamiwa kufaidika na mifuko 8,333 ya unga wa uji uliorutubishwa wa kilo 25....

Orengo: Tutawaajiri walimu wa ECDE kwa masharti ya kudumu

0
Gavana wa kaunti ya Siaya James Orengo amesema serikali yake imeanzisha mchakato wa kuwaajiri walimu wa shule ya chekechea, ECDE kwa masharti yya kudumu.  "Barua...

Walimu wa ECDE kuajiriwa Kericho

0
Serikali ya kaunti ya Kericho itawaajiri walimu wa kudumu 1,115 wa shule ya chekechea, ECDE mwezi Agosti mwaka huu.  Walimu walio na vyeti katika ECDE...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS