Tag: EACC
EACC kuwahoji wakurugenzi wa serikali ya Busia kwa madai ya ukabila
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi hapa nchini EACC, imeanza kuwahoji wakurugenzi 39 na manaibu wao wa idara mbali mbali katika serikali ya...
Wanne wakamatwa na EACC kwa tuhuma za kutumia vyeti bandia
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC imewakamata watu wanne kwa kuchuma mali kwa kutumia vyeti bandia vya masomo.
Wanne hao ni Edna Bitange...
EACC kutwaa mali ya aliyekuwa mfanyakazi wa serikali ya kaunti ya...
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini EACC imepata maagizo kutoka kwa mahakama kuu ya kutwaa mali ya thamani ya zaidi ya shilingi...
Maafisa wanne wa Taita Taveta wakamatwa kwa tuhuma za ufisadi
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC leo Jumanne imewakamata maafisa wanne waandamizi wa kuanti ya Taita Taveta kwa tuhuma za kufuja fedha...
Afisa wa chuo kikuu akamatwa kwa kuitisha hongo
Maafisa wa tume ya Maadili na kukabiliana na ufisadi hapa nchini EACC, wamemkamata afisa wa chuo kikuu cha Cooperative, kwa kuitisha hongo ya shilingi...
Afisa wa IEBC akamatwa kwa kughushi vyeti vya masomo
Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi EACC, leo Jumatatu imemkamata afisa mmoja mkuu wa tume ya uchaguzi nchini IEBC, ambaye anadaiwa alighushi...
Afisa bandia wa EACC anaswa kwa kutapeli Wakenya
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi nchini Kenya EACC,imemkamata jamaa ambaye amekuwa akitapeli umma akijidai kuwa Mkurugenzi wa kijasusi wa tume hiyo.
EACC ilifanya...
Seneta Mandago taabani baada ya DPP kuidhinisha ashtakiwe
Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago amejipata taabani baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP) kuidhinisha mashtaka mapya katika sakata inayomkabili ya shilingi...
EACC yatoa wito wa ushirikiano kuutema ufisadi nchini
Itachukua muda mrefu kufanikisha vita dhidi ya ufisadi humu nchini iwapo vita hivyo vitaachiwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) pekee.
Wakizungumza mjini...
EACC yafichua ufujaji wa fedha katika hazina ya Inua Jamii
Tume ya Maadili na kukabiliana na ufisadi, EACC, imefichua kwamba fedha kutoka kwa hazina ya Inua Jamii, hutumwa kwa watu waliostaafu na waliofariki, huku...