Home Tags EAC

Tag: EAC

Pepea Mashariki: Jumuiya ya Afrika Mashariki yashinikiza mshikamano na umoja kati...

0
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeeleza nia na madhumuni yake ya kuunganisha nchi wanachama na kuhakikisha kuna amani na utulivu. Hata Hivyo katibu katika wizara...

Somalia yamtuma bi Fazia kumpinga Raila kwa uenyekiti wa AU

0
Somalia imeanza kampeini za kumpigia debe aliyekuwa waziri Fawzia Adam kuwania uenyekiti wa Muungano wa Afrika,AU kupambana na Raila Odinga aliyependekezwa na serikali ya...

Pepea Mashariki: Mkutano wa 43 wa baraza la biashara na uwekezaji...

0
MKUTANO WA 43 WA BARAZA LA BIASHARA, VIWANDA, FEDHA NA UWEKEZAJI LA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI, UMEANZA LEO JIJINI ARUSHA, NCHINI TANZANIA. MKUTANO HUO UNAWALETA...

Pepea Mashariki: Jenerali Francis Ogolla ahutubia Kongamano la wakuu wa majeshi...

0
KONGAMANO LA WAKUU WA WANAJESHI KUTOKA MATAIFA YALIYOKO KWENYE ENEO LA AFRIKA MASHARIKI LINAENDELEA. KONGAMANO HILO LILILO KWENYE AWAMU YA 32 LILIFUNGULIWA MAPEMA WIKI...

Pepea Mashariki: Sera mpya ya kusimamia uhamiaji wa wafanyakazi Jumuiya ya...

0
WASHIKADAU KATIKA SEKTA YA AJIRA NA KAZI KUTOKA MATAIFA WANACHAMA WA JUMUIA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC), WAMEIDHINISHA SERA NA MIFUMO YA KISHERIA YA JUMUIYA...

Pepea Mashariki: Juhudi za EAC katika kutoa mazingira bora kwa nchi...

0
JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IMEELEZA JITIHADA ZAKE KATIKA KUWEKA MAZINGIRA BORA YA USALAMA BAINA YA WANACHAMA WAKE. HATUA HII INATARAJIWA KUCHOCHEA AJENDA ZA KUKUZA...

Pepea Mashariki: Bunge la EAC kuanza rasmi kutumia lugha ya kiswahili

0
BUNGE LA JUMUI AYA AFRIKA MASHARIKI LINATARAJIWA KUANZA KUTUMIA LUGHA YA KISWAHILI KAMA MOJAWAPO YA LUGHA RASMI KATIKA VIKAO VYAKE JIJINI ARUSHA. KUFAHAMU MENGI KUHUSIANA...

Wanajeshi wa Kenya warejea kutoka DRC

0
Wanajeshi wa Kenya waliokuwa wakilinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wamerejea nchini leo Alhamisi. Kundi la pili la wanajeshi hao limepokelewa katika...

EAC kutotekeleza uangalizi wa uchaguzi DRC

0
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC imesema kwamba haitatuma wawakilishi wake kutekeleza uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini DR Congo kama ilivyo ada. Taarifa kwa vyombo vya...

Uchaguzi DRC: EAC yazuiwa kushiriki kama mwangalizi

0
Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC haitakuwa miongoni mwa waangalizi watakaofuatilia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC kesho Jumatano, Disemba...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS