Home Tags DRC

Tag: DRC

Kundi la M23 ladai kutwaa eneo la Rubaya nchini DRC

0
Kundi la waasi wa M23 mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo limedai kutwaa eneo la Rubaya, lenye madini mengi ya Coltan yanayotumika kutengeneza...

Uteuzi wa Charles Githinji katika ubalozi wa DRC wakataliwa

0
Hatima ya Charles Githinji,aliyependekezwa na Rais William Ruto kuwa mwakilishi mkuu wa ubalozi wa Kenya Jijini Goma katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC,...

Judith Suminwa Tuluka ateuliwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke wa DRC

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC Félix Tshisekedi amemteua waziri wa zamani kuwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini humo. Judith Suminwa Tuluka,...

Kagame akubali kukutana na Tshisekedi kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekubali kukutana na mwenzake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi kujadili mzozo unaoendelea mashariki mwa Congo, serikali...

Waziri Mkuu wa DRC Jean-Michel Sama Lukonde ajiuzulu

0
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu, ametangaza hatua hiyo katika video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya ofisi...

UN yawawekea vikwazo waasi 6 DRC huku mapigano mashariki yakizidi

0
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo Jumanne liliwawekea vikwazo watu sita kutoka makundi matano yenye silaha mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Chui wa Congo wamla tembo na kufuzu nusu fainali ya AFCON

0
Chui wa Congo waliandikisha historia baada ya kuititiga Guinea mabao matatu kwa moja na kutinga nusu fainali ya AFCON kwa mara ya kwanza tangu...

Rais Ruto: Kenya itaimarisha uhusiano wake na DRC

0
Kenya imesema itaimarisha uhusiano wa kidiplomasia na jamhuri ya kidemokrasia ya Congo-DRC, kwa manufaa ya raia wa mataifa haya mawili. Rais William Ruto ambaye...

Wanajeshi wa UN kuondoka DRC kufikia mwisho wa mwaka huu

0
Wanajeshi waliotumwa katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC na Umoja wa Mataifa, UN kusaidia kudumisha amani nchini humo wataondoka kabisa kufikia mwisho wa...

Rais Ruto ampongeza Tshisekedi kwa kushinda uchaguzi wa urais DRC

0
Rais William Ruto amempongeza Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC baada ya kutangazwa mshindi wa uchaguzi ulioandaliwa nchini humo Disemba...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS