Home Tags DR Congo

Tag: DR Congo

Wanajeshi wa EACRF waanza kuondoka DRC

0
Wanajeshi wa kikosi cha Jumuiya ya Afrika Mashariki, EACRF wameanza kuondoka mashariki ya Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC baada ya serikali ya nchi...

Wakongo wahaha kutokana na kupanda kwa joto la kisiasa

0
Joto la kisiasa linazidi kupanda katika Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC, zikisalia takriban siku 34 kabla ya kuandaliwa kwa uchaguzi mkuu. Hali ya ukosefu...

Mataifa saba ya afrika kupokea mkopo wa dola bilioni 1...

0
Shirika la IMF limetangaza kuwa mataifa saba ya Afrika yatapokea mikopo ya jumla ya dola za Kimarekani bilioni moja . IMF imesema baada ya kutathmini...

Wawaniaji 24 wajitosa katika kivumbi cha Ikulu DR Congo

0
Wagombeaji 24 wamejitosa ulingoni kuwania Urais katika Jamhuri ya Kidemkokrasia ya Congo katika uchaguzi wa Disemba mwaka huu. Hata hivyo wawaniaji hao watasubiri hadi mahakama...

Wanajeshi wa EACRF washambuliwa

0
Usimamizi wa kikosi cha pamoja cha mataifa ya Jumuiya ya Afrika Mashariki ambacho kinahudumu mashariki ya taifa la DR Congo, EACRF, umetoa taarifa kuhusu...

Mawaziri wa Ulinzi wa EAC wapendekeza muda wa kikosi chake DRC...

0
Mawaziri wa Ulinzi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC walikongamana jijini Arusha nchini Tanzania na mojawapo ya masuala ambayo yalijadiliwa ni...

Mbunge ahukumiwa kifo Congo

0
Mahakama ya kijeshi nchini DR Congo imemhukumu mbunge Edouard Mwangachuchu adhabu ya kifo kutokana na mchango wake katika maasi ya kundi la M23. Wakili wa...

Jean-Marc Kabund ahukumiwa miaka 7 kwa kumtukana Rais

0
Jean-Marc Kabund ambaye ni mwaniaji urais nchini DR Congo alihukumiwa kifungo cha miaka 7 gerezani kwa makosa 12 yanayohusiana na kumtukana Rais wa nchi...

Wakenya kuzuru DR Congo bila viza

0
Wakenya hawatahitaji VISA tena kusafiri kuingia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo baada ya serikali ya DR Congo kuondoa sharti ya viza kwa raia...

Muda wa kikosi cha jumuiya ya Afrika Mashariki DR Congo waongezwa

0
Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki walikubaliana Jumanne kuongeza muda wa kuhudumu wa kikosi cha eneo hili kilichotumwa mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS