Home Tags DR Congo

Tag: DR Congo

Makabiliano makali AFCON Simba wa Atlas dhidi ya Chui wa Congo

0
Morocco ukipenda Atlas Lions watashuka dimbani Laurent Pokou kwa mchuano wa pili wa kundi F Jumapili jioni dhidi ya Chui wa Jamhuri ya Demokrasia...

Chui wa Congo wakataa abadan kupigwa risasi na Zambia AFCON

0
Jamhuri ya Demokrasia ya Congo, DRC ukipenda Leopards walipoteza nafasi chungu tele huku wakitoka sare ya bao moja na Chipolopolo ya Zambia katika mchuano...

Taharuki yatanda DRC baada ya uchaguzi mkuu

0
Hali taharauki imezidi kutanda katika Jamhuri ya Demorasia ya Congo  takriban siku kumi tangu kuandaliwa kwa uchaguzi mkuu. Tume huru ya uchaguzi CENI siku ya...

Watu zaidi 50 wafariki kwa mvua nchini Congo

0
Watu wapatao 50 wameripotiwa kufariki kati ya Jumanne na Jumatano wiki hii mjini Bukavu, mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kutokana na mvua...

Maandamano yaendelea DRC kupinga matokeo ya kura za Urais

0
Maafisa wa polisi katika Jamhuri ya kidemokrasi ya Congo waliendelea na makabiliano na wafuasi wa upinzani wanaotaka kufutiliwa na kurejelewa ...

Uchaguzi Mkuu wa DRC wagubikwa na vurugu

0
Uchaguzi mkuu ulioandaliwa Jumatano katika Jamhuri ya Kidemkokrasia ya Congo, DRC uligubikwa na vurumai, maandamano na madai ya wizi wa kura. Katika baadhi ya vituo...

EAC kutotekeleza uangalizi wa uchaguzi DRC

0
Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC imesema kwamba haitatuma wawakilishi wake kutekeleza uangalizi wa uchaguzi mkuu nchini DR Congo kama ilivyo ada. Taarifa kwa vyombo vya...

Rais afafanua kuhusu tukio la DRC

0
Rais William Ruto amefafanua kuhusu kilichotokea jijini Nairobi kuhusu Jamhuri ya Demokrasia ya Cong, DRC ambapo muungano wa waasi na makundi ya kijamii na...

DR Congo yaita mabalozi wake wa Kenya na Tanzania

0
Serikali ya Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo imewaita mabalozi wake nchini Kenya na Tanzania kwa kile kinachotajwa kuwa majadiliano. Hatua hiyo ilitekelezwa Jumamosi Disemba 16,...

Wanajeshi wa Kenya waanza kuondoka DR Congo

0
Wanajeshi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC wameanza kuondoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC baada ya serikali ya nchi hiyo kutamatisha mkataba...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS