Home Tags DP. Rigathi Gachagua

Tag: DP. Rigathi Gachagua

Gachagua afungua kongamano la kimataifa la sayansi la wanafamasia

0
Naibu rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza ufunguzi wa kongamano la kimataifa la sayansi la wanafamasia huko Mombasa. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo,...

Viongozi barubaru wa UDA wahimizwa kuwa na subira

0
Rais William Ruto amehimiza viongozi ambao ni vijana barubaru katika chama tawala UDA kuwa na subira wakati wao utafika. Kiongozi wa nchi aliyasema hayo wakati...

Gachagua kufungua maonyesho ya kilimo na uwepo wa chakula Bungoma

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua leo anatarajiwa kufungua rasmi maonyesho ya kilimo na uwepo wa chakula cha kutosha nchini huko Bungoma. Maonyesho hayo yameandaliwa na...

Gachagua akanya wanaoingilia siasa za Mlima Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa wanasiasa fulani wa eneo la Bonde la Ufa ambao anasema wanaingilia siasa za Mlima Kenya. Akizungumza jana...

Gachagua awaonya viongozi wa Mlima Kenya kuachana na siasa za urithi

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewaonya viongozi wa Mlima Kenya kuachana na siasa za urithi na kuwafanyia kazi wananchi waliowapigia kura. Akizungumza Jumanne wakati wa mazishi...

Naibu Rais Rigathi Gachagua ahimiza umoja Mlima Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amehimiza wakazi wa eneo la mlima Kenya wawe na umoja na upendo kila wakati akiongeza kusema kwamba kamwe hawezi kukubali...

Kikao cha tatu cha tume ya pamoja ya ushirikiano JCC chaandaliwa

0
Kikao cha tatu cha tume ya pamoja ya ushirikiano kati Kenya na Somalia kiliandaliwa leo ambapo ujumbe wa Kenya uliongozwa na naibu Rais Rigathi...

Serikali kuandaa ibada ya wafu kwa waliokufa maji Maai Mahiu

0
Serikali kwa ushirikiano na makanisa, viongozi na watu wa Maai Mahiu itaandaa ibada ya wafu kwa ajili ya watu ambao walikufa maji katika eneo...

Rais Ruto asema mji wa Bomet utapanuliwa

0
Rais William Ruto amesema kwamba mji wa Bomet ambao ni makao makuu ya kaunti ya Bomet utapanuliwa. Alikuwa akizungumza wakati wa kuzindua shughuli ya kukarabati barabara...

Gachagua: Makanisa ni muhimu kwa taifa hili

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesifia makanisa akisema ni nguzo muhimu katika taifa la Kenya. Kulingana naye, makanisa yamechangia pakubwa hatua zilizopigwa na taifa katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS