Home Tags Dorcas Rigathi

Tag: Dorcas Rigathi

Wakenya watakiwa kuungana kupambana na pombe, dawa za kulevya

0
Kuna haja kwa Wakenya kushikana mikono ili kupambana na jinamizi la pombe haramu na dawa za kulevya humu nchini.  Hayo yamesemwa na mkewe Naibu Rais...

Wakenya watakiwa kusherehekea Pasaka kwa kuwajibika

0
Mkewe Naibu Rais Dorcas Rigathi ametoa wito kwa Wakenya kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa kuwajibika na kutenga muda ili kusherehekea na familia zao.  Katika ujumbe...

Dorcas Rigathi atamaushwa na ongezeko la utumizi wa tumbaku Laikipia

0
Mkewe Naibu wa Rais Dorcas Rigathi ameelezea wasiwasi kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya tumbaku katika kaunti ya Laikipia. Akiongea alipozindua kambi ya siku mbili...

Wazazi wahimizwa kutowaficha watoto walemavu

0
Mke wa naibu Rais, mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa wito kwa wazazi kutowaficha watoto walio na ulemavu, badala yake wahakikishe wanapata elimu. Akizungumza katika shule ya...

Dorcas Rigathi aomboleza na familia zilizowapoteza wapendwa wao Kirinyaga

0
Mkewe naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, ametoa wito kwa wanawake na makanisa kushirikiana katika harakati za kupambana na unywaji wa pombe haramu ambayo imesababisha...

Dorcas Rigathi: Sheria za kukabiliana na mihadarati ni hafifu

0
Mke wa naibu Rais mchungaji Dorcas Rigathi, ameelezea wasiwasi wake kwamba sheria za humu nchini haziwachukulii hatua kali walanguzi wa dawa za kulevya, wahusika...

Wahudumu wa matatu watakiwa kujiepusha na mihadarati

0
Wahudumu wa matatu wamehimizwa kujiepusha na utumizi wa pombe na mihadarati, kwani zinasababisha changamoto nyingi katika familia changa. Mke wa Naibu Rais Dorcas Rigathi amesema...

Shindano la soka kwa waliokuwa waraibu wa mihadarati lazinduliwa

0
Mkewe Naibu Rais Dorcas Rigathi amezindua shindano la soka katika uwanja wa Mutuini, eneo bunge la Dagoreti Kusini jijini Nairobi linawalolenga waraibu wanaojirekebisha na...

Waraibu wa mihadarati waokolewa kaunti ya Mombasa

0
Waraibu 60 wa mihadarati katika kaunti ya Mombasa, wameokolewa na kupelekwa katika vituo vya kurekebishia tabia vilivyoko kaunti ya Kwale. Mkewe naibu Rais mchungaji Dorcas...

Matukio ya Taifa: Naibu Rais asema serikali kuu haitatoa fedha zaidi...

0
Naibu Rais amesema serikali kuu haitatoa fedha kwa serikali za kaunti na kwamba kaunti zinafaa kutumia mfuko wake wa fedha katika kukinga wananchi na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS