Home Tags Dorcas Oduor

Tag: Dorcas Oduor

Uteuzi wa Dorcas Oduor, Beatrice Askul waidhinishwa na bunge

0
Bunge la Kitaifa limeidhinisha uteuzi wa Dorcas Oduor kuwa Mwanasheria Mkuu na Beatrice Askul Moe kuwa Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na Maendeleo...

Dorcas Oduor: Nitazitathmini kesi kwa makini kabla ya kuziwasilisha kortini

0
Dorcas Oduor ambaye ameteuliwa na Rais William Ruto kuwa Mwanasheria Mkuu amesema utakuwa wajibu wake kuzitathmini kwa makini kesi kabla ya kuziwasilisha mahakamani.  Matamshi yake...

Kamati ya bunge yawasaili walioteuliwa kuwa Waziri wa EAC, Mwanasheria Mkuu

0
Kamati ya bunge leo Ijumaa inawasaili watu wawili walioteuliwa kujiunga na Baraza Jipya la Mawaziri.  Wa kwanza kufika mbele ya kamati ya usaili inayoongozwa na...

Rais Ruto amteua Dorcas Oduor kuwa Mwanasheria Mkuu

0
Rais William Ruto leo Jumanne amemteua Dorcas Odour kuwa Mwanasheria Mkuu, siku chache baada ya kubatilisha uteuzi wa Rebecca miano. Uteuzi huo unajiri baada ya...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS