Home Tags DCI

Tag: DCI

Mshukiwa wa ugaidi ahukumiwa miaka 30 gerezani

0
Mahakama moja ya Busia imemhukumu mshukiwa wa ugaidi miaka 30 gerezani, baada ya kukamilika kwa kesi iliyoanza kusikilizwa mwaka 2021. Kulingana na Idara ya Upelelezi...

Bangi ya thamani ya shilingi Milioni 13 yanaswa Busia

0
Polisi katika kaunti ya Busia, wanawasaka washukiwa wawili waliotoroka baada ya kufumaniwa na bangi yenye thamani ya shilingi milioni 13 Jumatano. Maafisa hao walikuwa wakishika...

Washukiwa wa wizi wa shilingi milioni 2.2 wakamatwa

0
Washukiwa sita wakiwemo maafisa wanne wa polisi wanaoaminika kumfuata kabla ya kuvunja gari la mhasibu wa Shule ya Kimataifa ya Rophine, na kutoweka na...

10 washtakiwa kwa ulaghai wa uuzaji ardhi wa shilingi bilioni moja

0
Watu 10 wameshtakiwa kwa kosa la udanganyifu wa uuzaji ardhi wa shilingi bilioni moja jijini Nairobi.  Kisa hicho kimekuwa kikichunguzwa kwa muda na Kitengo cha...

Jamaa aliyeshambulia afisa wa polisi Roysambu akamatwa

0
Maafisa wa polisi wamemkamata jamaa ambaye alionekana kwenye video iliyosambazwa mitandaoni akimpa afisa wa polisi kichapo katika barabara ya Mirema, Roysambu jijini Nairobi. Jamaa huyo...

Polisi wanasa bangi ya thamani ya shilingi milioni 6.2 Nairobi

0
Maafisa wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), wamenasa mifuko 41 ya bangi yenye thamani ya shilingi milioni 6.2 katika mtaa wa...

DCI yatangaza kuzima kabisa biashara haramu ya bidhaa za Petroli

0
Idara ya polisi wa uchunguzi kuhusu maswala ya jinai DCI, imetangaza kushinda vita dhidi ya biashara haramu ya bidhaa za petroli katika barabara ya...

Walanguzi watatu wa Mihadarati wanaswa Mombasa na Kilifi

0
Maafisa wa polisi wa kitengo cha kukabiliana na mihadarati, wamenasa dawa za kulevya za thamani ya shilingi milini 3.7, baada ya kufanya msako katika...

Maafisa wa DCI wanasa washukiwa 41 wa biashara haramu Nairobi

0
Maafisa wa ujasusi wa DCI wamenawasa washukiwa 41 walipatikana wakiendesha biashara haramu katika jengo moja ambalo halijakamilika katika barabara ya Lunga kaunti ya Nairobi. Haya...

Bastola iliyoibwa kutoka kwa afisa wa polisi yapatikana

0
Maafisa wa polisi wamepata bastola moja ambayo iliibiwa kimabavu kutoka kwa afisa mkuu wa kituo cha polisi cha Vihiga mwaka jana. Kulingana na polisi afisa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS