Tag: Daniel Ebenyo Simiu
Simiu Ebenyo ashinda Berlin Half Marathon
Daniel Simiu Ebenyo wa Kenya ndiye mshindi wa makala ya 43 ya mbio za Berlin Half Marathon, zilizoandaliwa Jumapili nchini Ujerumani.
Simiu aliwaongoza wenzake kutamalaki...
Ebenyo aibuka kidedea Delhi Half Marathon
Mshindi wa nishani ya fedha ya dunia katika mbio za mita 10,000 Daniel Ebenyo Simiu, ametwaa ubingwa katika makala ya 18 ya mbio za...