Home Tags CS Susan Nakhumicha

Tag: CS Susan Nakhumicha

Gachagua afungua kongamano la kimataifa la sayansi la wanafamasia

0
Naibu rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza ufunguzi wa kongamano la kimataifa la sayansi la wanafamasia huko Mombasa. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo,...

Waziri Nakhumicha aongoza maadhimisho ya TB nchini

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema kuwa mpango wa afya mashinani wa mwaka wa 2023 -2030 dhidi ya ugonjwa wa TB kwa ushirikiano na...

Nakhumicha: Huduma zinaendelea kutolewa hospitali za rufaa

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amethibitisha kwamba huduma zinatolewa kama kawaida katika hospitali za rufaa nchini. Aliyasema hayo wakati wa ziara yake katika taasisi mbalimbali...

Nakhumicha asisitiza umuhimu wa Afrika kuwekeza katika uundaji wa chanjo

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha Wafula amesisitiza umuhimu wa mataifa ya Bara Afrika kuwekeza katika utayarishaji wa dawa. Alisema hayo kwenye kikao cha siku tatu...

Wizara ya Afya yaelimisha wafanyakazi Kuhusu hazina ya kijamii ya matibabu...

Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesihi wafanyakazi wa afya na wanaotoa huduma kuhamasisha kwa bidii kuhusu faida za Hazina ya Kijamii ya Matibabu (SHIF). Akizungumza...

Wizara ya Afya yatetea kiwango cha matozo ya bima mpya

0
Wizara ya Afya imetetea kiwango cha asilimia 2.75 cha matozo ya wafanyakazi kwa ajili ya bima mpya ya afya almaarufu Social Health Insurance Fund...

Gachagua: Serikali imejitolea kuboresha sekta ya afya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa hakikisho kwamba serikali imejitolea kuboresha sekta ya afya. Akizungumza wakati wa sherehe ya 92 ya kufuzu ya taasisi ya kozi...

Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani kuandaliwa Meru

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha kesho Ijumaa, Disemba 1, 2023, ataongoza sherehe ya kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani katika uwanja wa michezo wa Kinoru,...

Maafisa wakatili dhidi ya wanaotafuta kuni wamulikwa

Waziri wa afya Susan Nakumicha, Gavana wa kaunti ya Elgeyo marakwet Wisely Rotich na mbunge wa eneo la Keiyo Kaskazini Adams Kipsanai wamelalamikia ukatili...

Waziri Nakhumicha aongoza maadhimisho ya siku ya kisukari duniani

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha anaongoza maadhimisho ya siku ya ugonjwa wa kisukari duniano katika hospitali ya rufaa ya Iten katika kaunti ya Elgeyo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS