Home Tags CS Soipan Tuya

Tag: CS Soipan Tuya

Watunzaji misitu 118 wafuzu Kericho

0
Wakenya 118 wamefuzu leo Jumatano kutoka taasisi ya kutoa mafunzo kuhusu misitu almaarufu Kenya Forestry College - KFC ambayo iko katika eneo la Londiani...

Sikukuu ya upanzi wa miti kutoathiri mtihani wa kitaifa KCSE

0
Wizara ya Elimu imetangaza kwamba siku iliyotengwa na serikali kwa ajili ya upanzi wa miti nchini haitaathiri mtihani unaoendelea wa kidato cha nne, KCSE. Serikali...

Maafisa washauriwa kuwa na utu wanapofurusha wananchi misituni

0
Wizara ya Mazingira, Mabadiliko ya Tabia  Nchi na Misitu imewaelekeza maafisa wa idara mbalimbali wanaotekeleza operesheni ya kufurusha watu kutoka msitu wa Mau wahakikishe...

Wakulima walalamikia kufurushwa kwenye msitu Meru

Wakulima ambao ni wanachama wa muungano wa jamii wa kutunza msitu ambao walikuwa wamepatiwa vipande vya ardhi ili kutekeleza kilimo katika eneo la Kithoka...

Taasisi ya Wangari Maathai yafunguliwa rasmi

0
Taasisi ya Wangari Maathai ya mafunzo ya amani na mazingira, yaani "Wangari Maathai Institute (WMI)" imefunguliwa rasmi katika chuo kikuu cha Nairobi, bewa la...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS