Home Tags CS Kithure Kindiki

Tag: CS Kithure Kindiki

Kindiki awaonya waeneza chuki nchini

0
Waziri wa Usalama wa kitaifa Kithure Kindiki ameonya kuwa hakuna mtu aliye na uhuru wa kueneza chuki na migawanyiko miongoni mwa Wakenya. Akizungumza katika...

Rais Ruto arejea kutoka Marekani

0
Rais William Ruto amerejea nchini Kenya baada ya ziara ya kiserikali ya siku nne nchini Marekani. Kiongozi wa nchi alilakiwa katika uwanja wa ndege na...

Kafyu kuendelea kutekelezwa Turkana

0
Maagizo yaliyotolewa na serikali ya kutotoka nje usiku katika maeneo mbali mbali ya kaunti ya Turkana yataendelea kutekelezwa, haya ni kwa mujibu wa waziri...

Idara ya uhamiaji kuchapisha pasipoti 10,000 kwa siku,asema Kindiki

0
Idara ya uhamiaji ina uwezo kuchapisha pasipoti 10,000 kwa siku, ili kukabiliana na mahitaji ya juu ya pasipoti 5,000 kwa siku kote nchini. Kulingana na...

Rais Ruto asema operesheni imerejesha utulivu North Rift

0
Rais William Ruto amesema kwamba utulivu umerejea katika eneo la kaskazini mwa bonde la ufa kufuatia operesheni ya kiusalama iliyoanzishwa humo yapata mwaka mmoja...

Kindiki: Usalama unaimarika Turkana

0
Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki amesema kwamba usalama unaendelea kuimarika katika kaunti ya Turkana, kufuatia kuanzishwa kwa oparesheni ya "Maliza Uhalifu" mwaka...

Gereza la Kisii kuhamishiwa kwingine

0
Waziri wa Usalama wa Taifa Kithure Kindiki amesema kwamba serikali kuu itahamisha gereza la Kisii kutoka katikati ya mji hadi sehemu iliyo nje ya...

Serikali yasimamisha shughuli za wachimba migodi wadogo Migori

0
Serikali imeamuru kusimamishwa kwa shughuli zote za wachimba migodi wadogo pamoja na shughuli za wachimba migodi wakubwa wasio na leseni stahiki katika kaunti ya...

Kindiki: Vifaa vya kazi ni muhimu kwa walinda usalama

0
Waziri wa usalama wa taifa Profesa Kithure Kindiki amesema kwamba utoaji wa vifaa vya kazi kwa maafisa wa usalama walio katika maeneo muhimu kiusalama...

Watekelezaji sheria watakiwa kudhibiti ajali

0
Waziri wa usalama wa taifa Kithure Kindiki amewataka maafisa wote wanaohusika na utekelezaji wa sheria kote nchini, kuunda mpango wa kuhakikisha sheria za trafiki...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS