Home Tags CS Kipchumba Murkomen

Tag: CS Kipchumba Murkomen

Gachagua akanya wanaoingilia siasa za Mlima Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa wanasiasa fulani wa eneo la Bonde la Ufa ambao anasema wanaingilia siasa za Mlima Kenya. Akizungumza jana...

Maafisa wa NTSA kurejeshwa barabarani

0
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema kwamba yeye na Waziri wa Usalama wa Taifa Kithure Kindiki wamekubaliana kutafuta kufutiliwa mbali kwa agizo la kuwaondoa...

Ujenzi wa barabara ya kuunganisha Kenya na Sudan Kusini kuanza karibuni

0
Waziri wa barabara na uchukuzi nchini Kenya Kipchumba Murkomen na mwenzake wa Sudan Kusini Simon Mijok Mijak wametangaza kwamba ujenzi wa barabara kuu ya...

Rais Ruto atetea mpango wa kuboresha barabara nchini

0
Rais William Ruto amesema kwamba uamuzi wa kuwekeza katika uboreshaji wa barabara humu nchini utainua hadhi ya nchi hii na kuchochea biashara. Akizungumza huko Nakuru...

Safari za moja kwa moja za ndege kati ya Brussels na...

0
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen ametangaza kwamba safari za ndege za moja kwa moja kati ya Nairobi na mji wa Brussels nchini Belgium. Kupitia akaunti...

Waziri Murkomen ataka polisi wachunguze kukatika kwa umeme kila mara JKIA

0
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen sasa anataka huduma ya taifa ya polisi ichunguze kukatika kwa umeme kila mara katika uwanja wa ndege wa Jomo...

Waziri Namwamba asema serikali itakamilisha ujenzi wa uwanja wa Kamariny

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amesema mipango ipo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa michezo wa Kamariny. Akizungumza alipozuru uwanja huo ulioko Iten, kaunti ya...

Serikali yaongeza muda wa agizo la kusimamisha kusailiwa upya kwa madereva

0
Serikali kupitia kwa wizara ya uchukuzi imeongeza muda wa agizo lililosimamisha mpango wa kuwasaili upya waendeshaji magari ya uchukuzi wa umma na mengine ya...

Kampuni ya Skyward yazindua safari za kutoka Nairobi hadi Migori

0
Kampuni ya usafiri wa ndege kwa jina Skyward imezindua safari za ndege kati ya uwanja wa ndege wa Wilson jijini Nairobi na uwanja mdogo...

Naibu Rais Rigathi Gachagua asema yaliyoshuhudiwa jana ni aibu

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaja maandamano yaliyoshuhudiwa jana katika sehemu mbali mbali za nchi kuwa aibu. Akizungumza leo jijini Nairobi wakati wa kufungua mkutano wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS