Home Tags CS Ezekiel Machogu

Tag: CS Ezekiel Machogu

HELB kuanza kupokea maombi ya mikopo Juni 15

0
Bodi ya kutoa mikopo kwa wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu, HELB imetangaza kuanza kupokea maombi Juni 15 mwaka huu. Waziri wa Elimu Ezekiel...

Serikali yatoa pesa za kugharimia elimu katika taasisi mbalimbali

0
Serikali imetoa shilingi bilion 30.5 ambazo zitagharimia elimu katika shule za sekondari, mikopo ya elimu na ufadhili wa elimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu...

Walimu wahakikishiwa usalama maeneo yanayokumbwa na wizi wa mifugo

0
Serikali imetoa hakikisho la usalama kwa walimu wanaohudumu katika maeneo yanayokumbwa na wizi wa mifugo eneo la Kaskazini mwa Bonde la Ufa. Akizingumza katika shule...

China yatoa ufadhili wa kuweka vifaa katika vyuo anuwai

0
Serikali ya China imekubali kutoa msaada wa vifaa katika vyuo anuwai kote nchini kwa gharama ya shilingi bilioni 13. Kutokana na hilo, Rais William Ruto...

Matukio ya Taifa: Asilimia 50 ya matokeo ya watahiniwa wa KCSE...

0
Asilimia 50 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana walikosa kusajili matokeo yakuridhisha huku wengi wao wakipata alama ya kati ya...

Watahiniwa wa KCPE kujiunga na sekondari Januari 15

0
Wanafunzi waliokalia mtihani wa darasa la nane mwaka huu, KCPE watajiunga na shule za upili Januari 15 mwaka ujao. Haya yametangazwa na Waziri wa Elimu...

KNEC, Machogu washtakiwa kuhusu matokeo ya KCPE

0
Baraza la Mitihani Nchini, KNEC na Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu wameshtakiwa mahakamani na wazazi wa mwanafunzi mmoja wa shule ya msingi ya Set...

Matukio ya Taifa: Watahiniwa 352,782 wapata kati ya alama 300 na...

0
Jumla ya watahiniwa 8,523 walinakili zaidi ya alama 400 huku 352,782 wakinakili kati ya alama 300 na 399 katika mtihani wa kitaifa wa darasa...

Machogu: Siombolezi KCPE

0
Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema kwamba haombolezi mwisho wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE bali anafurahia kuwa kiungo muhimu wakati...

Waliokosa kufanya KCPE kupata fursa Januari, 2024

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu ametangaza kwamba wote ambao walikosa kufanya mtihani wa mwisho wa darasa la nane, KCPE  watapata fursa nyingine ya kuufanya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS