Home Tags CS Eliud Owalo

Tag: CS Eliud Owalo

Rais Ruto kufungua kongamano la uwekezaji Nyanza

0
Rais William Ruto anatarajiwa kufungua rasmi kongamano la kimataifa la uwekezaji la eneo la Nyanza mwezi ujao, haya ni kulingana na waziri wa mawasiliano...

Waziri Eluid Owalo aongoza upanzi wa miti Nandi

0
Jumla ya miti zaidi ya miche 8,000 imepandwa katika eneo la Karimarich, kaunti ya Nandi na timu iliyoongozwa na waziri wa habari, mawasiliano na...

Waziri Owalo kugharimia masomo ya mwanafunzi wa Maseno School

0
Waziri wa Mawasiliano na Uchumi Dijitali Eliud Owalo kupitia kwa wakfu wake amejitolea kugharimia masomo ya mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya...

Wakfu wa Eliud Owalo watoa msaada kwa timu ya vijana ya...

0
Asubuhi ya leo, waziri wa mawasiliano na uchumi dijitali Eliud Owalo leo aliandaa mashauriano na usimamizi wa timu ya soka ya Muhoroni Youth na...

Waziri Owalo atoa kambi ya matibabu Rarieda

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo ametoa kambi ya bure ya matibabu kwa wakazi wa Rarieda. Kambi hiyo ya kwanza inafadhiliwa...

Waziri Owalo aitunuku Gor Mahia basi jipya la shilingi milioni 20

0
Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Eliud Owalo, amewakabidhi mabingwa wa ligi kuu Gor Mahia basi jipya la kima cha shilingi milioni 20...

Waziri Owalo aimotisha Shabana FC

0
Klabu ya Shabana FC inayoshiriki ligi kuu ha Kenya, imepewa motisha inapojiandaa kwa mchuano wa Jumapili hii wa ligi dhidi ya watani wa jadi...

Waziri Owalo azindua mtandao wa WiFi katika soko la Magunga

0
Waziri wa Habari na Mawasiliano Eliud Owalo jana Jumapili alizindua mtandao wa WiFi katika soko la Magunga eneo bunge la Suba Kusini katika kaunti...

Wakenya wahakikishiwa usalama wa data yao

0
Serikali imehakikishia wakenya kwamba imejitolea katika kuhakikisha ulinzi wa hali ya juu wa data yao. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Dijitali Eliud Owalo...

Waziri Owalo azindua mtandao wa Wi-Fi Ukunda

0
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Digitali Eliud Owalo amezindua mtandao wa Wi-Fi katika soko la Ukunda, eneo bunge la Msambweni kaunti ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS