Home Tags CS Alfred Mutua

Tag: CS Alfred Mutua

Waziri Mutua asema mipango inaendelea ya kubinafsisha hoteli za serikali

0
Waziri wa utalii na wanyamapori Alfred Mutua amesema kwamba mipango inaendelea ya kubinafsisha hoteli ya Mombasa Beach ambayo iko chini ya hoteli zinazomilikiwa na...

Wizara ya Utalii kuboresha mji wa Malindi

0
Wizara ya Utalii imetangaza mpango wa kuboresha mji wa Malindi kwa lengo la kuvutia watalii zaidi. Haya yaliafikiwa kwenye kikao cha kushirikisha umma kilichoongozwa na...

Mpango wa kuhamisha vifaru weusi wazinduliwa

0
Waziri wa Utalii Daktari Alfred Mutua amezindua mpango wa kuhamisha vifaru weusi 21 kutoka mbuga za wanyama za Nairobi, Ol Pejeta na Lewa hadi...

Mwanaharakati Bonface Mwangi ahukumiwa kwa kudharau mahakama

0
Mwanaharakati wa humu nchini Boniface Mwangi amehukumiwa kifungo cha miezi miwili gerezani au faini ya shilingi laki 3 baada ya kupatikana na kosa la...

Kenya kutuma polisi Haiti kurejesha utulivu

0
Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Daktari Alfred Mutua amesema Kenya imejitolea kutuma maafisa wake wa polisi wapatao 1000 nchini Haiti wakasaidie kutoa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS