Home Tags CS Ababu Namwamba

Tag: CS Ababu Namwamba

Timu za kitaifa za Talanta hela zatangazwa

0
Waziri wa michezo Ababu Namwamba ametoa orodha ya wachezaji walioteuliwa kujiunga na timu za kitaifa za Talanta Hela. Timu hizo ni za wasichana na wavulana,...

Waziri Namwamba atoa pesa alizopewa na mahakama kama msaada kwa jamii

0
Waziri wa michezo Ababu Namwamba ametangaza kwamba shilingi milioni 9 alizopatiwa na mahakama katika kesi kati yake na kampuni ya Standard Group zitaelekezwa katika...

Shirikisho la mpira wa kikapu Marekani kukuza talanta mashinani

0
Shirikisho la mchezo wa mpira wa kikapu nchini Marekani National Basketball Association -NBA limejitolea kutekeleza mipango ya kukuza talanta za mchezo huo mashinani nchini...

Waziri Ababu afungua rasmi uwanja wa Kiprugut Chumo

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amezindua rasmi uwanja wa Kiprugut Chumo katika kaunti ya Kericho. Waziri amefungua uwanja huo Jumamosi takriban mwezi mmoja baada...

Waziri Namwamba asema serikali itakamilisha ujenzi wa uwanja wa Kamariny

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amesema mipango ipo ya kukamilisha ujenzi wa uwanja wa michezo wa Kamariny. Akizungumza alipozuru uwanja huo ulioko Iten, kaunti ya...

Wanariadha 9 walioshinda nishani katika mashindano ya Riadha Duniani mjini Budapest...

0
Wanariadha 9 walioinyakulia Kenya nishani 10 katika makala ya 19 ya mashindano ya Riadha Duniani yaliyokamilika Jumapili iliyopita mjini Budapest, Hungary watatuzwa Ijumaa. Hafla ya...

Wiki ya kitaifa ya vijana yazinduliwa

0
Wizara ya Masuala ya Vijana, Sanaa na Michezo kwa ushirikiano na asasi nyingine za serikali imezindua wiki ya kitaifa ya vijana mwaka 2023. Uzinduzi huo...

Waziri Namwamba ashauriana na mwakilishi wa UNDP kuhusu masuala ya viajana

0
Waziri wa Mambo ya Vijana, Sanaa na Michezo Ababu Namwamba alishiriki mazungumzo na mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu maendeleo, UNDP Ahunna...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS