Home Tags COWU

Tag: COWU

COTU yakejeli mipango ya waziri Kuria

0
Muungano wa wafanyikazi nchini  COTU umetaja mipango ya waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria, kusitisha makato ya wanachama wa vyama vya wafanyikazi na...

COWU yakiri mwaka 2023 ulikuwa mgumu kwa wafanyakazi

0
Chama cha wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini, COWU kimekiri kuwa mwaka 2023, umekuwa mgumu kwa wafanyakazi wote nchini Kenya kutokana na matozo mapya...

Mgomo wa wafanyikazi wa Posta wasitishwa

0
Mgomo wa wafanyakazi wa shirika la Posta ulioanza tarehe 2 mwezi Novemba mwaka huu wa 2023 umesitishwa, baada ya pande husika kukubaliana kuhusu mchakato...

Wafanyakazi 2,000 wa Posta waanza mgomo kudai mshahara wa miezi 5

0
Takriban wafanyakazi 2,000 wa shirika la Posta nchini wameanza mgomo kote nchini siku ya Alhamisi kulalamikia kutolipwa mshahara wa miezi mitano. Katika kaunti ya Nairobi,...

Wafanyakazi wa Posta watangaza mgomo kuanzia Novemba wakidai mshahara wa miezi...

0
Wafanyakazi wa shirika la Posta nchini wametoa ilani ya wiki mbili ya mgomo wa kitaifa kutaka walipwe malimbikizi ya mshahara wa miezi sita kuanzia...

COTU yataka wafanyakazi kupewa nyongeza ya asilimia 50 ya mshahara

0
Muungano wa wafanyakazi nchini (COTU) unataka nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi kwa asilimia 50 kuwakimu dhidi ya gharama ya juu ya maisha. Wakizungumza na wanahabari ...

Wafanyazaki kuelemewa na mzigo wa ushuru, asema Okwaro

0
Naibu katibu mkuu wa muungano wa wafanyakazi nchini, COTU Benson Okwaro amesema ushuru unaotozwa na ule unaopangwa kuanzishwa na serikali utakuwa mzigo mkubwa kwa...

COWU yamtaka Rais Ruto kushinikiza kulipwa kwa madeni ya shirika la...

0
Muungano wa wafanyakazi wa sekta ya mawasiliano nchini, COWU umemtaka Rais William Ruto kuingilia kati na kushinikiza kulipwa kwa madeni ambayo shirika la Posta...

Okwaro ataka mashauriano kati ya serikali na upinzani

0
Katibu Mkuu wa muungano wa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini Benson Okwaro ametaka kuandaliwa kwa majadiliano ya kina kati ya serikali na upinzani...

COWU yaiomba serikali isaidie kampuni ya Telkom

0
Chama cha Wafanyakazi wa Sekta ya Mawasiliano Nchini, COWU kimeiomba serikali isaidie kampuni ya Telkom isije ikafilisika. Katibu Mkuu wa chama hicho Benson Okwaro anasema...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS