Home Tags COTU

Tag: COTU

COTU yakejeli mipango ya waziri Kuria

0
Muungano wa wafanyikazi nchini  COTU umetaja mipango ya waziri wa utumishi wa umma Moses Kuria, kusitisha makato ya wanachama wa vyama vya wafanyikazi na...

Serikali yatakiwa kudhibiti kudorora kwa sarafu ya Kenya

Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyikazi humu nchini-COTU Francis Atwoli, amehimiza serikali kuweka mikakati ya dharura ili kudhibiti kudorora kwa thamani ya...

Mchungaji Joel Kandie achaguliwa mwenyekiti wa COTU

0
Bodi ya Muungano wa vyama vya wafanyikazi hapa nchini COTU, imemchagua mchungaji Joel Kandie Chebii kuwa mwenyekiti wake. Kupitia kwa taarifa siku ya Ijumaa, katibu...

Wakili bandia? COTU yamtetea Brian Njagi

0
Muungano wa Vyama vya Wafanyakazi, COTU umesitisha kimya chake na kumtetea Brian Mwenda Njagi kutokana na madai ya kuhudumu kama wakili bila ya kutimiza...

COTU: Serikali ihakikishe usalama wa polisi watakaotumwa Haiti

0
Serikali imetakiwa kushirikiana na washirika wake kama vile Marekani na Canada kuhakikisha usalama wa maafisa wa polisi watakaotumwa nchini Haiti ili kudhibiti usalama katika...

Atwoli: COTU bado iko imara

0
Muungano wa vyama vya wafanyakazi, COTU bado uko imara na utaendelea kufanya kila uwezalo kutetea maslahi ya wafanyakazi kote nchini na duniani.   Katibu Mkuu wa...

COTU yataka wafanyakazi kupewa nyongeza ya asilimia 50 ya mshahara

0
Muungano wa wafanyakazi nchini (COTU) unataka nyongeza ya mishahara ya wafanyakazi kwa asilimia 50 kuwakimu dhidi ya gharama ya juu ya maisha. Wakizungumza na wanahabari ...

Wafanyazaki kuelemewa na mzigo wa ushuru, asema Okwaro

0
Naibu katibu mkuu wa muungano wa wafanyakazi nchini, COTU Benson Okwaro amesema ushuru unaotozwa na ule unaopangwa kuanzishwa na serikali utakuwa mzigo mkubwa kwa...

Atwoli ataka mswada wa kuongezea Wakenya ushuru utupiliwe mbali

0
Katibu mkuu wa muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini, COTU Francis Atwoli amemtaka mbunge wa Ikolomani Benard Shinali atupilie mbali mswada wake unaopendekeza Wakenya...

Okwaro ataka mashauriano kati ya serikali na upinzani

0
Katibu Mkuu wa muungano wa wafanyakazi katika sekta ya mawasiliano nchini Benson Okwaro ametaka kuandaliwa kwa majadiliano ya kina kati ya serikali na upinzani...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS