Tag: COPA AMERICA
Copa Amerika: Uruguay yaonyesha Brazil mlango
Timu ya Urugua imewabandua mabingwa mara tisa Brazil mapema hii leo kwenye mashindano ya Copa Amerika yanayoendelea nchini Marekani kupitia matuta ya 4-2 baada...
Copa America: Argentina yaibandua Ecuador
Mabingwa watetezi wa taji la bara la Amerika Argentina, wamefuzu kwa nusu fainali ya mashindano hayo kwa kuizaba Ecuador kupitia matuta ya 4-1.
Timu...
Copa America: wenyeji Marekani wabanduliwa
Timu ya Marekani imeaga mashindano ya Copa America yanayoendelea nchini mwao baada ya kulazwa kwa bao moja mapema hii leo na viongozi wa kundi...
Copa America: Marekani na Uruguay kumenyana
Marekani ambao ni wenyeji wa kipute cha Copa America watakabana koo na Uruguay saa tisa usiku katika mechi ya mwisho ya kundi C sawia...
Mabingwa watetezi Argentina na Canada wafuzu kwa robo fainali COPA America
Mabingwa watetezi Argentina na Canada wamefuzu kwa robo fainali ya kipute cha COPA America kinachoendelea nchini Marekani,baada ya kusajili ushindi wa mabao 2-0 dhidi...