Home Tags COP28

Tag: COP28

Nchi za Afrika zatetea wajumbe wengi waliohudhuria COP28

0
Serikali kadhaa za Afrika zinatetea uamuzi wa kupeleka jumbe mkubwa kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi COP28 mjini Dubai baada ya hatua hiyo kukosolewa...

Kenya yafaidi kutokana na kongamano la COP28

0
Kenya imefaidi pakubwa kutokana na kongamano kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, COP28 linaloendelea jijini Dubai katika Ufalme wa Milki za Kiarabu, UAE. Kenya imetia saini...

Kenya na UAE kuimarisha uhusiano wa kibiashara

0
Rais William Ruto amesema Kenya na Ufalme wa Milki za Kiarabu, UAE zinalenga kuimarisha ushirikiano wao wa kibiashara hata zaidi. Huku akikiri kwamba nchi hizo...

Ruto: Jumuiya ya kimataifa inapaswa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

0
Rais William Ruto siku ya Ijumaa  alihutubia mkutano wa mabadiliko ya tabia nchi, COP28 ulioandaliwa jijini Dubai katika Ufalme wa Milki za Kiarabu, UAE. Katika...

Papa Francis hatahudhuria mkutano wa COP28

0
Papa Francis ameahirisha safari yake ya mkutano wa COP28 wa hali ya hewa mjiniDubai kutokana na mafua na kuvimba kwa mapafu, Vatican ilisema. Papa, 86,...

Serikali yajitolea kufufua mfumo ikolojia

0
Serikali imesisitiza kujitolea kwake katika juhudi za ufufuzi wa ikolojia. Akizungumza kwenye hafla ya wadau, katibu katika wizara ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi, Festus...

Mkutano kuhusu tabia nchi na usalama waanza Nairobi

0
Wadau katika maswala ya usalama na tabia nchi kutoka kote barani Afrika wanakongamana jijini Nairobi kwa ajili ya mkutano wa mwaka huu wa Berlin...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS