Home Tags Colombia

Tag: Colombia

Wakuzaji kahawa wa Colombia wahimizwa kushirikiana na Kenya

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa wakulima wa kahawa wa Colombia, kushirikiana na Kenya kwa lengo la kuboresha biashara ya kahawa hapa nchini. Akizungumza...

Kahawa: Gachagua asema wamejifunza mengi kutoka kwa Colombia

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua anasema wamejifunza mengi kutoka kwa Colombia kuhusiana na masuala yanayofungamana na kilimo cha kahawa. Gachagua anaongoza ujumbe unaojumuisha Mawaziri Mithika Linturi...

Kenya na Colombia zatia saini mkataba wa ushirikiano

Kenya imetia saini mkataba maalum wa pamoja wa ushirikiano na Colombia jijini Bogota, katika juhudi za kuboresha uhusiano baina ya mataifa haya mawili. Kutiwa...

Naibu Rais Rigathi Gachagua awasili nchini Colombia

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewasili nchini Colombia anakotarajiwa kunadi kahawa ya Kenya na kuelezea mipango ya serikali ya kulainisha sekta hiyo humu nchini.  Gachagua ametangaza...

Naibu Rais Gachagua kuhudhuria kongamano la kahawa nchini Colombia

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua jana Jumapili usiku aliondoka nchini kuelekea Colombia ambako atahudhuria Kongamano la Wazalishaji na Wachomaji Kahawa Duniani litakaloandaliwa mjini Bogota.  Baadaye, Gachagua...

Kenya, Colombia kuimarisha uhusiano

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua leo Jumatatu jioni amekutana na Makamu Rais wa Colombia Francia Elena Marquez Mina anayezuru nchini katika ofisi yake iliyopo Harambee...

Morocco wafuzu kwa raundi ya pili ya Kombe la Dunia kwa...

0
Limbukeni Morocco almaarufu Atlas Lioneses wameigutisha Colombia baada ya kuwacharaza bao moja kwa nunge katika mechi ya kundi H na kufuzu kwa raundi ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS