Home Tags CoG

Tag: CoG

Ugatuzi wa afya: Magavana wailaumu serikali kuu

0
Baraza la Magava, CoG sasa linadai kuwa kuna njama ya kurejesha usimamizi wa sekta ya afya kwa serikali kuu.  Kupitia kwa Gavana wa kaunti ya...

Baraza la magavana lachukua hatua ya kujaribu kutatua mgomo wa maafisa...

0
Baraza la magavana lilitoa mwaliko kwa maafisa wa chama cha maafisa kliniki nchini KUCO kwa mazungumzo ya kujaribu kutatua masuala yaliyosababisha mgomo ulioanza leo. Kupitia...

Waiguru ahifadhi uenyekiti wa Baraza la Magavana

0
Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Anne Waiguru amechaguliwa tena kuwa mwenyekiti wa Baraza la Magavana. Waiguru amechaguliwa tena leo Jumatatu wakati wa uchaguzi wa Baraza...

Zinga: Pendekezo la kubuni kaunti zaidi, hatua hii inafaa?

0
Mchanganuzi wa masuala ya siasa Martin Andati amepinga pendekezo la kubuni kaunti zaidi na kusihi serikali kuwezesha kaunti zilizopo kuafikia maendeleo. https://art19.com/shows/zinga/episodes/90d19d8e-f853-4225-abbd-2ef3398c476f

Zinga: Miaka kumi ya ugatuzi, mafanikio na changamoto zake

0
Mfumo wa ugatuzi umeonekana kupeleka maendeleo mashinani. Lakini ijapokuwa umesifiwa kwa kuchochea maendeleo hayo, kumekuwa na changamoto si haba, mojawapo likiwa swala sugu la...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS