Home Tags Cleophas Malala

Tag: Cleophas Malala

Aliyekuwa msaidizi wa Raila Silas Jakakimba ajiunga na UDA

0
Aliyekuwa msaidizi wa kinara wa Azimio Raila Odinga Silas Jakakimba amejiunga na chama cha United Democratic Alliance (UDA). Jakakimba alichukua uamuzi huo jana Jumanne, miezi...

Chama cha UDA kimeahirisha uchaguzi wake wa mashinani

0
Chama tawala cha United Democratic Alliance (UDA), kimeahirisha uchaguzi wake wa mashinani ambao ulikuwa ufanyike tarehe tisa mwezi Disemba mwaka 2023. Kupitia kwa taarifa, katibu...

UDA kuandaa mkutano wa Baraza la Kitaifa la Uongozi Ijumaa

0
Chama cha United Democratic Alliance, UDA kinachoongozwa na Rais William Ruto kitaandaa mkutano wa Baraza la Uongozi wa chama hicho leo Ijumaa katika ukumbi...

Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala kuhudhuria mikutano ya Baraza la...

0
Rais William Ruto amemkubalia Katibu Mkuu wa chama cha United Democratic Alliance, UDA Cleophas Malala awe akihudhuria mikutano ya Baraza la Mawaziri. Hatua hii...

Mkutano wa UDA watibuka Mombasa

0
Makabiliano baina ya kambi mbili hasimu za chama cha United Democratic Alliance, UDA yalisababisha kutibuka kwa mkutano wa wajumbe wa chama hicho katika tawi...

Rais Ruto: Sina tatizo na Raila kuandaa maandamano

0
Rais William Ruto amesema hana shida na kinara wa upinzani Raila Odinga kuandaa maandamano. Rais Ruto amesema maandamano ni nguzo moja ya kidemokrasia, jinsi...

Mwakilishi Wadi ya Chewani Hamisi Idd afariki

0
Hamisi Idd, ambaye ni Mwakilishi Wadi ya Chewani Kaunti ya Tana River, ameaga dunia mapema leo Jumamosi asubuhi katika ajali ya barabarani kwenye eneo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS