Tag: CJ Martha Koome
Mahakama ya upeo yamaliza kusikiliza rufaa ya sheria ya fedha ya...
Mahakama ya upeo leo imehitimisha kusikiliza Ombi lililotolewa na asasi mbali mbali za serikali ikiwa ni pamoja na Bunge, afisi ya Mwanasheria Mkuu na...
Bunge latakiwa kutoa mwelekeo wa kisheria wa kulainisha shughuli za mashirika...
Bunge la kitaifa limehimizwa kuharakisha mchakato wa kisheria wa kuhamisha mashirika yote ya kutatua mizozo hadi kwenye idara ya mahakama.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa...
Jaji Mkuu ajitolea kutetea utunzaji wa mazingira
Jaji Mkuu Martha Koome amejitolea kutetea utunzanji wa mazingira katika sekta ya haki nchini kupitia kuhakikisha sheria inafuatwa, kulinda haki, kuhakikisha maendeleo enedelevu na...
Mahakama ya Makadara kufungwa kwa wiki nyingine moja
Jaji Mkuu Martha Koome ametangaza kwamba mahakama ya Makadara itaendelea kufungwa kwa muda wa juma moja zaidi.
Kwenye taarifa, Koome ambaye pia ni Rais wa...
Jaji Mkuu Martha Koome aongoza maombolezi ya Hakimu Kivuti
Jaji Mkuu Martha Koome anaongoza maafisa wa idara ya mahakama na wahusika wengine katika maombolezi ya kitaifa ya Hakimu Mkuu Monica Kivuti.
Jaji Mkuu akiwa...
Bendera za mahakama kupeperushwa nusu mlingoti
Jaji mkuu Martha Koome ameelekeza kwamba bendera zote za idara ya mahakama katika vituo vya idara hiyo kote nchini zipeperushwe nusu mlingoti kama njia...
Kundi la sekta mbalimbali la kushughulikia kesi za kimazingira lazinduliwa
Jaji Mkuu Martha Koome amezindua kundi la maafisa wa sekta mbalimbali kwa lengo la kuhakikisha upatikanaji wa haki katika maswala ya mazingira na mabadiliko...
Mwakilishi wa LSK katika JSC aapishwa
Wakili Samson Omwanza Ombati aliapishwa leo kama mwanachama wa tume ya huduma za mahakama JSC anayewakilisha chama cha mawakili nchini LSK.
Hafla fupi ya kumwapisha...
Raila azungumzia mkutano kati ya Ruto na Jaji Mkuu Koome
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametoa maoni yake kuhusu tangazo la Jaji Mkuu Martha Koome kwamba wameomba kukutana na Rais William Ruto.
Ombi la jaji...
Ruto asema yuko tayari kujadiliana na Jaji Mkuu Koome
Rais William Ruto amesema kwamba yuko tayari kujadiliana na maafisa wa idara ya mahakama wakiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome ili kutatua suala la...