Home Tags China

Tag: China

William Lai Ching-te aapishwa kuwa Rais wa Taiwan

0
William Lai Ching-te ameapishwa kuwa Rais wa kisiwa cha Taiwan katika sherehe iliyokuwa na heshima zote kama kufyatuliwa kwa mizinga 21. Ching-te alisifia demokrasia...

China yatoa ufadhili wa kuweka vifaa katika vyuo anuwai

0
Serikali ya China imekubali kutoa msaada wa vifaa katika vyuo anuwai kote nchini kwa gharama ya shilingi bilioni 13. Kutokana na hilo, Rais William Ruto...

Beijing kuandaa mashindano ya Riadha Duniani mwaka 2027

0
Mji wa Beijing China umeteuliwa kuandaa mashindano ya Riadha Duniani mwaka 2027. Beijing itakuwa mwenyeji wa makala hayo ya 21, miaka 12 tangu mashindano hayo...

Mudavadi awasili China kwa ziara rasmi ya siku tatu

0
Waziri mwenye mamlaka makuu aliyepia waziri wa mambo ya nje Musalia Mudavadi, amewasili Jijini Beijing nchini China kwa ziara rasmi ya siku tatu. Alipowasili katika...

Raia wa Taiwan wapiga kura kumchagua Rais na wabunge

0
Takribani raia milioni 19.5 wa Taiwan wanapiga kura kumchagua rais mpya na wabunge leo Jumamosi, kwenye uchaguzi muhimu kwa mustakabali wa kisiwa hicho kuhusu...

Afisa wa jeshi wa Marekani afungwa jela kwa kuwa jasusi wa...

0
Afisa wa jeshi la wanamaji wa Marekani aliyekiri kutoa taarifa nyeti za kijeshi kwa China amefungwa jela kwa zaidi ya miaka miwili. Wenheng Zhao, mwenye...

Wachina wa Tanzania waanzisha ligi yao ya kandanda

0
Raia wa China ambao wanaishi na kufanya kazi nchini Tanzania wameanzisha ligi yao ya mpira wa miguu. Ligi hiyo itakayohusisha timu 6 ilizinduliwa rasmi na...

Mudavadi: Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Kenya na China umeimarika

0
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amesema kuna haja ya Kenya na China kutumia vyema fursa ya kukuza ushirikiano wao wa kimkakati hadi ngazi...

Uganda kukopa $150m kutoka China kuboresha miundombinu ya intaneti

0
Wizara ya Fedha ya Uganda imetangaza mpango wa kukopa dola milioni 150 kutoka kwa benki ya Exim ya China ili kuendeleza miundombinu ya intaneti...

Ruto asisitiza umuhimu wa kuwekeza katika uchumi wa kidijitali

0
Ushirikiano wa kidijitali kati ya China na nchi zinazohusika katika Mpango wa Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), ni muhimu kwa maendeleo ya miundombinu. Rais William...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS