Tag: Chief Registrar of the Judiciary
Kamanda mpya wa kitengo cha polisi cha idara ya mahakama akaribishwa
Msajili mkuu wa idara ya mahakama Bi. Winfridah B. Mokaya jana katika majengo ya mahakama ya upeo nchini jijini Nairobi, alimpokea Ibrahim Ramadhan Omar,...
Idara ya mahakama kuimarisha usalama wa majaji
Idara ya mahakama imehaidi kuimarisha usalama wa majaji na maafisa wake wakiwa mahakamani.
Msajili Mkuu wa Idara hiyo Winfrida Mokaya ametoa hakikisho hilo Alhamisi...