Tag: Chief Justice Martha Koome
Koome ataka kurejeshwa kwa walinzi wa Jaji Mugambi
Jaji Mkuu Chief Martha Koome ameitaka huduma ya kitaifa ya Polisi kurejesha walinzi wa Jaji Lawrence Mugambi mara moja.
Inadaiwa kuwa walinzi wa jaji huyo...
Koome azungumzia kauli za Rais Ruto, asisitiza uhuru wa mahakama
Jaji Mkuu Martha Koome amekashifu matamshi ya Rais William Ruto ya kupuuza maagizo ya mahakama akisema yanatishia uhuru wa idara hiyo.
Kwenye taarifa kwa vyombo...
Mfumo wa kuweka kesi kidijitali wazinduliwa Mandera
Jaji mkuu Martha Koome amezindua mfumo wa kuweka kesi mahakamani kwa njia ya kidijitali pamoja na kituo cha kusuluhisha mizozo almaarufu Maslaha. Alizindua pia...