Home Tags CECAFA

Tag: CECAFA

Zanzibar yatwikwa maandalizi ya CECAFA Senior Challenge

0
Zanzibar itakuwa mwenyeji wa makala ya mwaka huu ya fainali za kuwania kombe la CECAFA maarufu kama CECAFA Senior Challenge Cup. Baraza kuu la CECAFA...

Kenya iko tayari kuandaa kipute cha CHAN asema Ababu

0
Kenya iko tayari kuandaa fainali za mwaka huu za kombe la mataifa ya Afrika kwa wanandinga wanaopiga soka  Afrika maarufu kama CHAN. Haya yalisemwa siku...

Kenya kuzindua uhasama wa jadi na Uganda fainali ya CECAFA kwa...

0
Timu ya taifa ya Kenya ya soka kwa chipukizi walio chini ya umri wa miaka 18, itazindua uhasama wa tangu jadi dhidi ya Uganda...

Uganda, Tanzania wajaajaa nusu fainali CECAFA

0
Uganda na Tanzania zimefuzu kwa nusu fainali ya michuano ya mwaka huu kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi walio chini ya umri wa miaka...

Ni kufa kupona kundini B mechi za mwisho Jumamosi

0
Kivumbi kinatarajiwa kutifuliwa katika mechi za mwisho za kundi B katika kipute cha CECAFA kwa chipukizi chini ya umri wa miaka 18. Mechi za kundi...

Kenya kumenyana na Rwanda mechi za CECAFA

0
Kenya itashuka uwanjani Mamboleo, kaunti ya Kisumu Jumanne asubuhi kwa mchuano wa pili wa kundi A dhidi ya Rwanda, kuwania kombe la CECAFA kwa...

CECAFA: Makinda wa Kenya waizaba Sudan

0
Wenyeji Kenya wameanza mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 kwa ushindi wa Mabao matano kwa bila dhidi...

Kipute cha CECAFA kutifua vumbi Jumamosi magharibi ya Kenya

0
Mashindano ya kuwania kombe la CECAFA kwa chipukizi wasiozidi umri wa miaka 18 yatang’oa nanga Jumamosi katika kaunti za Kakamega na Kisumu. Mashindano hayo tatafunguliwa...

Namwamba ampeleka Dahir Kisumu kwa ndege kushiriki kipute cha CECAFA U-18

0
Dahir Abdikadir ana kila sababu ya kutabasamu baada ya kupata fursa adimu ya kusafiri kwa ndege hadi kaunti ya Kisumu na Waziri wa Michezo...

Eritrea yajiondoa kwa mechi za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026

0
Eritrea imejiiondoa kwa mechi za makundi kufuzu kwa fainali za kombe la dunia mwaka 2026 ,siku kadhaa kabla ya kaunza kwa michuano hiyo. Eritrea...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS