Tag: Catherine Wanjeri
Wanahabari Kiambu waandamana, walaani kupigwa risasi kwa Catherine Wanjeri
Wanahabari mjini Kiambu wameandamana leo Jumatano kulalamikia kupigwa risasi kwa mwenzao mjini Nakuru wakati wa maandamano ya vijana wa Gen Z jana Jumanne.
Wamelaani vikali...
Mwanahabari wa Mediamax Catherine Wanjeri yuko katika hali nzuri
Mwanahabari wa kampuni ya Mediamax Catherine Wanjeri Kariuki aliyejeruhiwa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano dhidi ya serikali katika kaunti ya Nakuru, anatarajiwa kufanyiwa...