Home Tags CAPE VERDE

Tag: CAPE VERDE

Bafana wafurahia kitoweo cha nyangumi na kufuzu kwa nusu fainali AFCON

0
Bafana Bafana ya Afrika Kusini ilihitaji ukakamavu wa kipa Ronwen Williams aliyepangua penalti nne, ili kufuzu kwa nusu fainali ya AFCON dhidi ya Cape...

Nyangumi wa Cape Verde wakata jasho kabla ya kutinga kwota fainali...

0
Cape Verde  almaarufu Blue Sharks walikuwa na kibarua cha ziada kabla, ya kuwabwaga Mauritania  bao moja bila na kufuzu kwa kwota fainali ya kombe...

Mafarao wapenya raundi ya pili huku Ghana wakienguliwa AFCON

0
Mabingwa mara saba wa kombe la Bara Afrika Misri ukipenda the Pharoes,  walifuzu kwa raundi ya pili ya kombe la AFCON  kimiujiza wakisajili  sare...

Nyangumi wa Cape Verde wafuzu raundi ya pili AFCON

0
Timu ya taifa ya Cape Verde almaarufu Blue Sharks,  ndio timu ya kwanza kufuzu kwa raundi ya 16 bora katika kipute cha kwuania kombe...

Nyangumi wa Cape Verde wang’ata Ghana AFCON

0
Cape Verde almaarufu Blue Sharks walijituma kiume na kuwaduwaza Ghana mabao 2-1 katika mechi ya kundi B ya kombe la AFCON iliyopigwa ugani Felix...

Nigeria, Cape Verde na Mali watinga AFCON

0
Nigeria, Cape Verde na Mali wamejikatia tiketi ya kushiriki makala ya 34 ya dimba la kombe la mataifa ya Afrika AFCON mwakani nchini Ivory...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS