Home Tags Canada

Tag: Canada

Wakazi wa Fort Nelson, British Columbia nchini Canada waagizwa kuhama kwa...

0
Wakazi wengi wa eneo la Fort Nelson, British Columbia nchini Canada wameagizwa kuondoka kwenye makazi yao kutokana na tishio la moto mkubwa. Moto huo unaripotiwa...

Chuo kikuu cha Masinde Muliro chazindua taaluma tatu mpya

0
Chuo kikuu cha Masinde Muliro kimezindua taaluma tatu mpya kwa ushirika na mataifa ya Canada na Finland. Taaluma hizi ni sayansi ya daktari...

Mashahidi zaidi ya 200 kutoa ushahidi dhidi ya Mandago na wenzake

0
Ofisi ya Mkuu wa Mashtaka ya Umma inanuia kutumia mashahidi 202 katika kesi ya sakata ya shilingi bilioni 1.1, pesa zilizokusudiwa kufadhili masomo ya...

Justin Trudeau aomba msamaha baada ya mkongwe wa Nazi kupewa heshima...

0
Waziri Mkuu Justin Trudeau ameomba msamaha kwa niaba ya Canada baada ya mwanaume mmoja wa Ukraine aliyepigana katika kitengo cha Nazi kupigiwa makofi kimakosa...

Ruto: Waliofuja fedha za ufadhili wa masomo Uasin Gishu wazirejeshe la...

0
Yeyote aliyefuja fuja fedha za mpango wa ufadhili wa masomo ya wanafunzi kutoka kaunti ya Uasin Gishu katika nchi za Canada na Ufini lazima...

Mahakama yatoa kibali cha kukamatwa kwa Seneta Mandago

0
Seneta wa kaunti ya Uasin Gishu Jackson Mandago ametakiwa kujisalimisha kwa polisi. Hii ni baada ya mahakama ya Nakuru kutoa kibali cha kukamatwa kwake. Mandago anatuhumiwa...

Wenyeji Australia watinga raundi ya 16 bora Kombe la Dunia kwa...

0
Wenyeji Australia wamefuzu kwa raundi ya 16 bora ya Kombe la Dunia baada ya kuwagaragaza mabingwa wa Olimpiki Canada mabao 4 kwa bila katika...

Familia yaomboleza Eldoret baada ya mwanao kufariki Canada

0
Familia moja mjini Eldoret inaomboleza kifo cha mwanao Brian Kiprop aliyekuwa akisomea shahada ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia katika Chuo Kikuu cha Winnipeg, Manitoba...

Kalonzo akutana na wajumbe wa kimataifa nyumbani kwake

0
Kiongozi wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka, alifanya mkutano na ujumbe viongozi wa kimataifa katika makazi yake mtaani Kareni kaunti ya Nairobi siku ya...

Vipusa wa Nigeria watoka sare na Canada Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria almaarufu Super Falcons imelazimisha sare kappa dhidi ya mabingwa wa Olimpiki Canada katika mchuano wa ufunguzi wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS