Home Tags CAMEROON

Tag: CAMEROON

Tai wa Nigeria wamtafuna Simba wa Cameroon na kufuzu robo fainali...

0
Super Eagles ya Nigeria waliendeleza ubabe dhidi ya Indomitable Lions wa Cameroon, baada ya kuwazabua mabao mawili kwa nunge na kutinga robi...

Simba wa Teranga walazimu Simba wa Cameroon kula nyasi AFCON

0
Mabingwa watetezi Senegal ndiyo timu ya  pili kutinga raundi ya pili  ya kindumbwendumbwe cha AFCON, baada ya kuwakalifisha  Cameroon  mabao matatu kwa moja  katika...

Ni derby ya Simba AFCON, Senegal wakishikana mashati na Cameroon

0
Huenda pakachimbika Ijumaa usiku wakati miamba mabingwa watetezi wa AFCON, Senegal watakapokwangurana na Cameroon katika mchuano wa kundi C. Indomitable Lions waliotoka sare na Guinea...

Song ataja kikosi cha Cameroon kwa kipute cha AFCON

0
Kocha wa Cameroon Rogobert Song, ametaja kikosi cha awali cha wanandinga 27 watakaoshiriki makala ay 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika...

Vipusa wa Kenya wang’atwa nyumbani na Cameroon

0
Matumaini ya Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 20 kufuzu kwa kombe la dunia mwaka ujao, yamezimwa baada ya...

Mabinti wa Kenya waangukia pua Cameroon

0
Timu ya Kenya kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 20 almaarufu Rising Starlets, iliambulia kichapo cha mabao matatu kwa nunge ugenini dhidi ya Cameroon...

Ni bilashi kuingia Nyayo mechi ya Kenya na Cameroon

0
Mashabiki hawatotozwa ada ya kiilingilio kwa mcuyano qa Jumanne Alasiri Septemba 26,kutazama mchuano wa marudio kufuzu kwa fainali za AFCON baina ya Cameroon na...

Harambee Starlets yaimarisha mazoezi kwa mechi ya kufuzu kombe la...

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya kwa wanawake ,Harambee Starlets,inaendeleza mazoezi ya kambi kujiandaa kwa mechi ya kufuzu kombe la Afrika dhidi ya...

Cameroon na Namibia wafunga orodha ya timu zilizofuzu kipute cha AFCON...

0
Mabingwa mara tano wa Afrika,Cameroon na Namibia walijikatia tiketi kwa makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatkayoandaliwa kati...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS