Home Tags CAF

Tag: CAF

Mabanati wa Kenya wanusa Kombe la Dunia baada ya kuizabua Burundi

0
Vidosho wa Kenya wanakaribia kuandikisha historia kuwa timu ya kwanza ya Kenya, kufuzu kwa fainali za kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17,...

Kenya kukabiliana na Burundi leo kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars, itashuka uwanjani Bingu mjini Lilongwe nchini Malawi leo alasiri kwa mechi ya tatu ya kundi F...

Morocco yatangaza kikosi kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia

0
Kocha wa Morocco Walid Regragui ametaja kikosi cha Atlas Lions, kitakachoshiriki mechi mbili za mwezi ujao kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka...

Zamalek watwaa kombe la shirikisho

0
Klabu ya Zamalek ya Misri, ndio mabingwa wa kombe la shirikisho la soka barani Afrika, baada ya kuwalaza RS Berkane ya Morocco kwa ...

Ahly watoshana nguvu na Esperance

0
Washindi mara 10 wa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika,Al Ahly ya Misri walilazimisha sare tasa dhidi ya Esperance ya Tunisia katika duru...

Ahly wazuru Tunisia wakiwinda kombe la 11 la Ligi ya...

0
Al Ahly watachuana na Eserance ya Tunisia katika duru ya kwanza ya fainali kuwania taji ya ligi ya Mabingwa barani Afrika Jumamosi usiku mjini...

RS Berkane waibwaga Zamalek fainali ya kombe la shirikisho

0
Klabu ya RS Berkane ya Morocco ikiwa nyumbani ilisajili ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya miamba wa Misri,Zamalek katika duru ya kwanza ya fainali...

Kenya yakosa viwanja kwa mashindano ya kimataifa

0
Kenya inakabiliwa na ukosefu wa viwanja vya kuandaa mashindano ya kimataifa hususan katika mchezo wa riadha na soka. Hali hii imeleta mfadhaiko mkubwa kwa wachezaji...

Jezi za klabu ya RS Barkane zazua mzozo wa kidimplomasia ...

0
Kwa mara ya pili wachezaji wa klabu ay USM Alger ya Algeria walidinda kuingia uwanjani kwa marudio ya nusu fainali ya kombe la shirikisho...

Ahly kumenyana na Esperance katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Watetezi wa taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly ya Misri waliwazidia maarifa washindi mara tano Toupiza Mazembe ya Jamhuri ya Demokrasia ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS