Home Tags CAF champions league

Tag: CAF champions league

Ahly watoshana nguvu na Esperance

0
Washindi mara 10 wa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika,Al Ahly ya Misri walilazimisha sare tasa dhidi ya Esperance ya Tunisia katika duru...

Ni kufa kupona Ligi ya Mabingwa Afrika,wakali wao kubainika

0
Marudio ya nusu fainali za Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika yataandaliwa Ijumaa usiku, huku timu mbili zitakazocheza fainali ya msimu huu zikitarajiwa kubainika. Washindi...

Esperance na Mazembe watinga nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

0
Washindi mara tano wa kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika,Toupiza Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na washindi mara nne ,Esperance kutoka Tunisia...

Timu zitakazocheza nusu fainali ya mataji ya CAF kubainiki

0
Timu zitakazocheza nusu fainali ya mataji ya Ligi ya Mabingwa na kombe la Shirikisho la soka Afrika zitabainika  mwishoni mwa juma hili baada ya...

Mnyama Simba atinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara...

0
Klabu ya Simba ya Tanzania ilijikatia tiketi kwa kwota fainali ya kombe la Ligi ya Mabingwa kwa mara ya nne baada ya kuikwatua Jwaneng...

Ligi ya Mabingwa Afrika kuingia lala salama

0
Mechi za makundi katika kipute cha kuwania kombe la Ligi ya Mabingwa barani Afrika CAF, zitakamilika mwishoni mwa juma huku timu mbili za mwisho...

Belouizdad na Ahly waumiza nyasi bila madhumuni

0
Mabingwa watetezi wa taji ya Ligi ya Mabingwa Afrika klabu ya Al Ahly na CR Belouizdad ya Algeria, waliambulia sare tasa katika mchuano wa...

Ziara ngumu kwa mashetani wekundu Ahly dhidi ya Belouizdad

0
Mabingwa watetezi Al Ahly ya Misri watakabiliwa na kibarua kigumu Ijumaa usiku watakapozuru Algeria, kumenyana na wenyeji CR Belouizdad katika mchuano wa...

Yanga yaikwatua Medeama kwa Mkapa

0
Yanga walisajili ushindi wa kwanza katika kundi D kuwania kombe la Ligi ya Mabingwa barani Afrika, baada ya kuwalemea Medeama kutoka Ghana mabao...

Ligi ya Mabingwa Afrika kurejea Jumanne

0
Kipute cha kuwania kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika kitaingia mechi za raundi ya nne hatua ya makundi siku ya Jumanne  Disemba 19 na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS