Home Tags Busia

Tag: Busia

Bangi ya thamani ya shilingi Milioni 13 yanaswa Busia

0
Polisi katika kaunti ya Busia, wanawasaka washukiwa wawili waliotoroka baada ya kufumaniwa na bangi yenye thamani ya shilingi milioni 13 Jumatano. Maafisa hao walikuwa wakishika...

Zaidi ya miti 5,000 yapandwa kaunti ya Busia

0
Zaidi ya miti 5,000 imepandwa katika kaunti ya Busia wakati wa zoezi la kitaifa la upanzi wa miti siku ya Ijumaa. Afisa mkuu wa uhifadhi...

EACC: Kaunti ya Busia ndio fisadi zaidi nchini

0
Kaunti ya Busia imeorodheshwa kuwa fisadi zaidi nchini. Hii ni kulingana na ripoti ya Kitaifa kuhusu Ufisadi (NEC) 2023 iliyotolewa na Tume ya Maadili na...

KeNHA yatakiwa kukarabati barabara ya Kisumu-Busia

0
Gavana wa Busia Paul Otuoma, ametoa wito kwa halmashauri ya kusimamia barabara kuu hapa nchini KeHNA, kuboresha barabara katika kaunti hiyo, ili kuzuia ajali...

Watu wawili wafariki katika ajali ya barabarani Busia

0
Watu wawili wanahofiwa kuaga dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la abiria kugongana ana kwa ana na lori la kusafirisha mafuta katika eneo...

Vanessa Ogema aachiliwa kwa dhamana ya laki mbili

0
Mwanamke aliyerekodiwa kwenye video akidaiwa kuwadhulumu na kuwarushia wahudumu wa afya cheche za maneno katika hospitali ya Port Victoria, kaunti ya Busia ameachiliwa kwa...

Busia wafuzu kwa fainali ya wasichana ya Talanta Hela

0
Timu ya kaunti ya Busia imefuzu kwa fainali ya wasichana katika makala ya kwanza ya mashindano Talanta Hela,ya chipukizi wasiozidi umri wa miaka 19...

Serikali yalaumiwa kwa kutelekeza vituo vya mpakani vya Busia na Malaba

0
Kamati ya bunge la seneti kuhusu biashara imeikosoa serikali kwa kupuuza shughuli ya utoaji huduma katika vituo vya mpakani vya Malaba na Busia, licha...

Matukio ya Taifa: Mgomo wa madaktari watatiza huduma za afya kaunti...

0
Wagonjwa katika kaunti ya Busia hii leo wamehangaika kupata huduma za afya kufuatia mgomo wa madaktari ambao umeathiri hospitali nyingi kaunti hiyo. Mgomo huo...

Matukio ya Taifa; Serikali ya Busia yapokea Msaada wa dawa kutoka...

0
Serikali ya kaunti ya busia imepokea msaada wa dawa uliogharimu takriban shilingi  milioni  mbili  kutoka kwa shirika la afya duniani WHO kwa ajili ya...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS