Home Tags Burundi

Tag: Burundi

Kenya yafuzu kwa fainali za kombe la Dunia kwa mara ya...

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 imejikatia tiketi kwa fainali za kombe la dunia kwa mara...

Hatima ya vipusa wa Rising stars kujulikana Leo

0
Timu ya taifa ya soka ya wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 itawakaribisha wenzao wa Burundi ugani Ulinzi katika duru ya pili ya mechi...

Vipusa wa Kenya watua nchini baada ya kuibwaga Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Rising Starlets, imewasili nyumbani leo Alasiri kutoka Adis...

Mabanati wa Kenya wanusa Kombe la Dunia baada ya kuizabua Burundi

0
Vidosho wa Kenya wanakaribia kuandikisha historia kuwa timu ya kwanza ya Kenya, kufuzu kwa fainali za kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17,...

Junior starlets kuchuana na Burundi Jumapili kuwania tiketi ya Kombe la...

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 17 itachuana na Burundi Jumapili jioni, katika mkumbo wa kwanza raundi ya nne...

Junior starlets watua Adis tayari kuikabili Ethiopia

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17 maarufu kama Junior Starlets iliwasili mjini Adis Ababa, Ethiopia Ijumaa...

Kenya kukabiliana na Burundi leo kusaka tiketi ya Kombe la Dunia

0
Timu ya taifa ya soka ya Kenya-Harambee Stars, itashuka uwanjani Bingu mjini Lilongwe nchini Malawi leo alasiri kwa mechi ya tatu ya kundi F...

Mabanati wa Kenya waimarisha mazoezi kuikabili Burundi

0
Timu ya taifa ya Kenya kwa wasichana walio chini ya umri wa miaka 17, imeimarisha mazoezi kwa mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia...

Burundi yafunga mipaka yake na Rwanda

0
Burundi imefunga mipaka yake na Rwanda baada ya kuishtumu jirani yake kufadhili mashambulizi ya waasi. Disemba mwaka jana Red Tabara, kundi la waasi wa Burundi,...

Rais wa Burundi atoa amri ya kupigwa kwa mawe kwa wanandoa...

0
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, ametoa amri ya kuuawa kwa kupigwa kwa mawe kwa wanandoa wa jinsia moja akisema ni kinyume cha imani zote...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS